http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

ANGALIA MTOTO ATAKAYELIPWA MILIONI 134 KWA AMRI YA MAHAKAMA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kikundi cha Scout nchini Uingereza kimeamriwa na Mahakama kulipa Paundi 42,000 ambazo ni sawa na Shilingi za Kitanzania milioni 134.4 kw...

PICHA:MABASI YA MWENDO KASI YAGONGANA YAFUNGA BARABARA YAO
Wakazi wa Arumeru Wanavyotaabika na Ukame, Hali Inatisha! (Video)
BREAKING NEWS: Kijana wa Miaka 18 Aliyekamatwa Kwa Tuhuma ya Utekaji na Uuaji wa Watoto Arusha Afariki
Kikundi cha Scout nchini Uingereza kimeamriwa na Mahakama kulipa Paundi 42,000 ambazo ni sawa na Shilingi za Kitanzania milioni 134.4 kwa mtoto wa miaka 11 kwa madai ya kumnyanyasa kutokana na ugonjwa alionao.
Inaelezwa kuwa mtoto huyo Ben Gleeson ambaye ana ugonjwa wa Autism, alijiunga na kikundi hicho cha 10 cha Scout mjini Hertfordshire mwaka 2015 lakini baadae aliambiwa kuwa hatoweza kwenda kwenye camp au kuwa sehemu ya michezo mbalimbali pasipo kuwa na uangalizi.
Familia ya mtoto huyo ilifungua kesi juu ya kikundi hicho cha Scout chini ya Sheria ya Usawa na kwamba walichomwambia mtoto wao kilikuwa tayari kimepigwa marufuku kisheria. Wazazi walifungua kesi hiyo mwaka 2017.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : ANGALIA MTOTO ATAKAYELIPWA MILIONI 134 KWA AMRI YA MAHAKAMA
ANGALIA MTOTO ATAKAYELIPWA MILIONI 134 KWA AMRI YA MAHAKAMA
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/Aut-660x400-660x381.jpeg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/angalia-mtoto-atakayelipwa-milioni-134.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/angalia-mtoto-atakayelipwa-milioni-134.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy