http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

SAKATA LA NABII MTOTO MAPYA YIBUKA,NI YULE MWENYE UTAJIRI WA AJABU,HATIMAYE AFUNGUKA MWENYEWE


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini,Nabii Daniel Daniel Shilla anayedaiwa ana utajiri mkubwa wa fedha ambaye habari zilienea k...

Twitter waungana na Google pamoja Facebook kupiga marufuku matangazo.....
ANGALIA MFANYABIASHARA AUAWA KINYAMA, ATUPWA KISIMANI
DOGO JANJA ATOA KAULI SIKUIOGOPA BASATA!,AFUNGUKA BAADA YA FUNGIA FUNGIA
KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini,Nabii Daniel Daniel Shilla anayedaiwa ana utajiri mkubwa wa fedha ambaye habari zilienea kwamba amefungiwa kutoa huduma,ameibuka na kukanusha kuwa hajafungiwa. Akizungumza mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar, Nabii Shilla alisema ni kweli huduma yake ilikuwa na matatizo na alikwenda Dodoma kushughulikia tatizo hilo ambalo alisema aliaambiwa na askofu wake, Peter Mlai kwamba anamfungia huduma kutokana na kujihusisha na siasa
Nilikwenda Dodona na kuonana na maofi sa wa serikali ambao waliniambia kuwa nilifanya kosa la kumtabiria mgombea wa ubunge wa Chadema katika Jimbo la Kinondoni kwamba atashinda katika uchaguzi, ni kweli nilifanya hivyo. “Lakini niliwaelewesha kwamba nabii anapotoa unabii wake huwa anaoneshwa. Hivyo sijafungiwa na kanisa halijafungwa.
Niliwaambia viongozi wa serikali kwamba sijawahi kumtukana rais au serikali na huwa nawaombea na serikali inafanya kazi vizuri sana isipokuwa kuna vitu vidogovidogo vikitokea huwa sisiti kusema kwa sababu nikikaa kimya nitakuwa mnafi ki. “Kwa mfano, anakuja muumini wako analalamika kuwa amevunjiwa nyumba na suala lipo mahakamani,hapo ni lazima utamsikiliza na utasema, ukikaa kimya utakuwa mnafi ki,” alisema Nabii Shilla.
Alisema hata mwaka 2020 utakapofi ka (wakati wa uchaguzi mkuu), hataacha kueleza kile ambacho ataoneshwa na Mungu kwa kuwa hiyo ndiyo kazi yake. Hivi karibuni Nabii Shilla alidai kuwa kanisa lake limefutiwa usajili baada ya yeye kutabiri kupitia facebook kwamba mgombea wa ubunge kwa tiketi ya Chadema (Salum Mwalimu) Jimbo la Kinondoni atashinda.
Hata hivyo Nabii Shilla alisema yeye aliongozwa na Mungu kutoa unabii ule hivyo akatakiwa kuripoti kwenye Ofi si ya Msajili wa Vyama mjini Dodoma kesho, hivyo atakwenda kuitikia wito hata kama ni kwa miguu.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : SAKATA LA NABII MTOTO MAPYA YIBUKA,NI YULE MWENYE UTAJIRI WA AJABU,HATIMAYE AFUNGUKA MWENYEWE
SAKATA LA NABII MTOTO MAPYA YIBUKA,NI YULE MWENYE UTAJIRI WA AJABU,HATIMAYE AFUNGUKA MWENYEWE
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/nabii-daniel-shilah-6-1-1-640x381.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/sakata-la-nabii-mtoto-mapya-yibukani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/sakata-la-nabii-mtoto-mapya-yibukani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy