ENGLAND: Mwanafizikia Prof. Stephen Hawking amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Alikuwa akiugua ugonjwa wa kupungua kwa misuli. -...
ENGLAND: Mwanafizikia Prof. Stephen Hawking
amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Alikuwa akiugua ugonjwa wa
kupungua kwa misuli.
-
Alibainika kuwa na ugonjwa huo wakati akiwa na umri wa miaka 22 na Madaktari walimtaarifu kuwa asingeweza kuishi kwa miaka miwili zaidi
-
Ugonjwa huo ulimfanya kulemaa na kulazimika kutumia kiti cha magurudumu. Aidha kutokana na kutokuweza kuongea alikuwa akitumia kifaa maalumu kilichokuwa kikiyatafsiri mawazo yake kuwa sauti
-
Alichapisha kitabu chake cha 'A Brief History of Time' mwaka 1988 na nakala zaidi ya Milioni 10 za kitabu hicho ziliuzwa.
-
Maisha yake yaliigiziwa kwenye filamu ya “The Theory of Everything” ya mwaka 2014 ambapo Eddie Redmayne aliigiza katika nafasi ya Mwanasayansi huyo