Sehemu ya Mabasi ya Mwendo Kasi yakiwa katika foleni ndefu eneo la Manzese baada ya mabasi mawili kugongana eneo la Shekilango na kusaba...
Sehemu ya Mabasi ya Mwendo Kasi yakiwa katika foleni ndefu eneo la Manzese baada ya mabasi mawili kugongana eneo la Shekilango na kusababisho foleni kubwa katika njia hiyo kutokana na njia hiyo kufungwa. Abiria katika vituo wamezidi kusongamana kutokna na mabasi hayo hadi sasa kutoendelea na safari zake huku yote yakiwa yanaelekea Kimara na kushindwa kugeuza.

Moja ya basi lililogongwa likiwa katika kituo

Basi lililogongana na jenzie likiwa katika njia panda ya Shekilango...




Msululu wa foleni ya mabasi hayo yakiwa yamesitisha safari zake kwa muda

Baadhi ya abiria wakiwa katika vituo wakisubiri usafiri


Baadhi ya abiria wakiwa katika vituo wakisubiri usafiri



Madereva wa mabasi hayo wakipiga stori wakiwa katika foleni hiyo

Baadhi ya abiria wakiwa katika vituo wakisubiri usafiri