http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Watu 9 Wauawa Baada ya Binti Kufuata Dini ya Mpenzi wake


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Taarifa kutoka Nigeria ni kwamba watu 7 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa vibaya baada ya kutokea vita Kaskazini Magharibi mwa Ni...

Bavicha Arusha wafanya ziara Arumeru Magharibi
Kijana mmoja kutoka arusha akamatwa kwa kutaka kufanya vurugu ofisi za Cuf buguruni
Zitambue Simu ambazo hazifanyi kazi tena na WhatsApp.!
Taarifa kutoka Nigeria ni kwamba watu 7 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa vibaya baada ya kutokea vita Kaskazini Magharibi mwa Nigeria baada ya binti mmoja wa Kikristo kubadili dini na kuwa Muislamu.

Tukio hilo lililotokea katika Jimbo la Gwari ambapo binti huyo aliamua kujiunga na dini hiyo ya Kiislamu kutokana na ushawishi wa mpenzi wake, jambo lililosabisha hasira kwa vijana wengine wa Kikristo na kuanza kufanya vurugu na kuanza kuchoma moto nyumba.

Kamanda wa Polisi kwenye eneo hilo Muktar Aliyu ameliambia Shirika la Utangazaji la BBC kuwa mpaka sasa tayari wanawashikilia watu 10 wanaosemekana kuhusika na kisa hicho na uchunguzi zaidi unaendelea.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watu 9 Wauawa Baada ya Binti Kufuata Dini ya Mpenzi wake
Watu 9 Wauawa Baada ya Binti Kufuata Dini ya Mpenzi wake
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6yycGMhaIXfZlBq35qprYzK4q_Rek5l-SK8EPAqUU327E3gr773ksdeNvjh769XB0CvJaMfxsrBaY_13BU1kiFEnjIa6yVNWjXJhXgZo9Jz1MXhpZJVF40t__r0yHYCrHWfLdH1wj2EXe/s1600/love-660x400.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6yycGMhaIXfZlBq35qprYzK4q_Rek5l-SK8EPAqUU327E3gr773ksdeNvjh769XB0CvJaMfxsrBaY_13BU1kiFEnjIa6yVNWjXJhXgZo9Jz1MXhpZJVF40t__r0yHYCrHWfLdH1wj2EXe/s72-c/love-660x400.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/watu-9-wauawa-baada-ya-binti-kufuata.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/watu-9-wauawa-baada-ya-binti-kufuata.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy