Kijana mmoja anayesadikika kuwa ametokea Mkoani Arusha amekamatwa muda huu kwenye ofisi za Cuf Buguruni kwa kudaiwa kutaka kufanya vurugu....
Kijana mmoja anayesadikika kuwa ametokea Mkoani Arusha amekamatwa muda huu kwenye ofisi za Cuf Buguruni kwa kudaiwa kutaka kufanya vurugu.
Taarifa za awali inasemakana wamekamatwa vijana sita ambapo mlengwa mkuu alikuwa ni huyu anayedaiwa kuwa ametumwa na watu wa chama cha Chadema .
Credity...msumbanews