http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Unajua kinywaji cha ''kupoteza ubikira'' Angalia mwenyewe hapa!!!!!


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kinywaji cha Four Loco chazua mjadala mkali nchini China Kinywaji maarufu kwa jina ''blackout in a can' nchini Marekani kimeingi...

Mahakama yaamuru mke aachike kisa Nyumba haina choo
(VIDEO) Mke wa R.O.M.A Amlipua Mbunge LIVE, Kisa ‘Zimbabwe’
Nyumba za Yamoto Siri Nzito Yafichuka!
Kinywaji cha Four Loco chazua mjadala mkali nchini China

Kinywaji maarufu kwa jina ''blackout in a can' nchini Marekani kimeingia nchini China.

Four Loko ,kinywaji kilicho na ladha ya matunda na asilimia 12 ya pombe kilitumika sana katika sherehe nchini Marekani kabla ya kuondolewa madukani katika majimbo kadhaa hadi pale viungo vyake viliporekebishwa.

Na sasa kimepata umaarufu mkubwa nchini China ,huku raia wakikiita ''Lose Virginity'' {poteza ubikira}kwa kuwa wanahisi kinywaji hicho kina nguvu zaidi.Raia wengi wamekuwa wakijipiga picha wakinywa kinywaji hicho

Wanavlogu kadhaa wamepakia kanda za video wakinywa kinywaji hicho cha mililita 695.

Kinywaji hicho kiligonga vichwa vya habari hivi majuzi baada ya wanawake watatu walio katika umri wa miaka 20 kuficha na kuingiza kinywaji hicho katika baa moja ya karaoke,kupoteza fahamu baada ya kunywa na kupoteza vitu vyao vyote kwa wezi..
Je, Four Loko ni nini haswa ,na watu wanasema nini kuhusu kinywaji hiki?

Four Loko kimeelezewa katika mitandao ya kijamii nchini China kuwa kinywaji kilicho na pombe pamoja na kafeini.Kinywaji cha Four Loco

Baadhi ya watu wanadai kwamba mchanganyiko huo unakifanya kinywaji hicho kuwa na nguvu na kina uwezo wa kumfanya mtu kupoteza fahamu baada ya kunywa chupa moja tu

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Unajua kinywaji cha ''kupoteza ubikira'' Angalia mwenyewe hapa!!!!!
Unajua kinywaji cha ''kupoteza ubikira'' Angalia mwenyewe hapa!!!!!
http://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/14F14/production/_91208758_fourlokotaobao.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/unajua-kinywaji-cha-kupoteza-ubikira.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/unajua-kinywaji-cha-kupoteza-ubikira.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy