http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mahakama yaamuru mke aachike kisa Nyumba haina choo


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mahakama kaskazini mwa India, imempa ruhusa mwanamke katika jimbo la Rajasthan ruhusa aachwe na mumewe, kwa sababu nyumba yao haina choo....

Utaratibu na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Mrisho Mpotondani ya Nanenane Arusha
BIBI HARUSI AJARIBU KUMUUA MUME WAKE SAA CHACHE BAADA YA KUFUNGA NDOA

Mahakama kaskazini mwa India, imempa ruhusa mwanamke katika jimbo la Rajasthan ruhusa aachwe na mumewe, kwa sababu nyumba yao haina choo.

Wakili wa mke, alidai kuwa kwa vile mume hakumjengea choo ndani ya nyumba, katika miaka mitano ya ndoa, basi huo ni ukatili.

Jaji alisema kwenda kufanya haja nje ni kitu cha aibu, na ni kumuadhibu mwanamke, kukosa kumuweka mwanamke pahala salama anapokwenda haja.

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF linasema kuwa karibu nusu ya watu nchini India, karibu watu milioni 600 hawana choo.

Mwaka uliopita mwanamke alikataa kuolewa na mwanamume mmoja katika jimbo la Uttar Pradesh baada ya mwanamume kukataa kujenga choo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mahakama yaamuru mke aachike kisa Nyumba haina choo
Mahakama yaamuru mke aachike kisa Nyumba haina choo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg44Am6G5b4A-g84qU1XnvlnbS_aWQqg5Uh_EsquOqk4Lk8gfdNBKAcusvIxdPcSMh1uw1DTXDTZmG9tH2p6BNU9DwmwX4gm4oIZefR16OFcsPrtHsr-bjSVF-eN45sgE_ePDqQtlXUwSGn/s640/_97455616_fbb930f2-7886-49aa-84ab-33aecad5dde3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg44Am6G5b4A-g84qU1XnvlnbS_aWQqg5Uh_EsquOqk4Lk8gfdNBKAcusvIxdPcSMh1uw1DTXDTZmG9tH2p6BNU9DwmwX4gm4oIZefR16OFcsPrtHsr-bjSVF-eN45sgE_ePDqQtlXUwSGn/s72-c/_97455616_fbb930f2-7886-49aa-84ab-33aecad5dde3.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/mahakama-yaamuru-mke-aachike-kisa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/mahakama-yaamuru-mke-aachike-kisa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy