http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Sherehe ya Kula Nyama ya Mbwa Yafanyika China

Sherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Yullin nchini China imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigw...


Sherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Yullin nchini China imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigwa marufuku mwaka huu.


Sherehe hiyo hufanyika kila mwaka katika mkoa wa Guangxi.


Mapema mwaka huu ,wanaharakati walidai kwamba wafanyibiashara waliagizwa na mamlaka kutouza nyama ya mbwa.


Lakini wamiliki wa vibanda vinavyouza nyama hiyo walisema hawajasikia lolote kuhusu hatua hiyo kutoka kwa maafisa. Mnamo tarehe 15 mwezi Mei, maafisa wa mji walithibitisha kwamba hakuna marufuku yoyote.


Siku ya Jumatano, ripoti kutoka Yullin zilisema kuwa mbwa waliokufa walionekana wakiwa wametundikwa katika ndoano za nyama katika vibanda ndani ya soko la Dongkou ambalo ndio kubwa mjini humo.



Credit: BBC

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Sherehe ya Kula Nyama ya Mbwa Yafanyika China
Sherehe ya Kula Nyama ya Mbwa Yafanyika China
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4wyKMnv1xeS-zJsXqI8If4qE6b_7qX63dLDpu9AV02AsvDCyhOFpeQjKTHtup6uk-jX19zB6sz7NoGLSJy9t-x7nAzEvFq16FIqT8Zv9wixX0Xuk3gXySQhBPYVAhFoDmxPZnnNnztHk7/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4wyKMnv1xeS-zJsXqI8If4qE6b_7qX63dLDpu9AV02AsvDCyhOFpeQjKTHtup6uk-jX19zB6sz7NoGLSJy9t-x7nAzEvFq16FIqT8Zv9wixX0Xuk3gXySQhBPYVAhFoDmxPZnnNnztHk7/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/sherehe-ya-kula-nyama-ya-mbwa-yafanyika.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/sherehe-ya-kula-nyama-ya-mbwa-yafanyika.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy