http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Muhimbili Yamtia Mbaroni Daktari Feki Leo


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kulia ni daktari feki ambaye amekuwa akijitambulisha kwamba ni Dk Abdallah Juma ambaye amekuwa akifanya kazi katika Maabara Kuu, katika Ho...

Mange kimambi ; Siogopi Kurudi Tanzania, "Naogopa kufa kuwaacha watoto wangu"
Moto wa Mshumaa Waua Watoto Wanne Wa Familia Moja
Linah afunguka idadi ya wanaume aliotembea nao




Kulia ni daktari feki ambaye amekuwa akijitambulisha kwamba ni Dk Abdallah Juma ambaye amekuwa akifanya kazi katika Maabara Kuu, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kulia ni mmoja wa askari wa Muhimbili aliyemkamata daktari huyo.

………………………………………………………………………
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imemtia mbaroni kijana mmoja aliyekuwa akijifanya daktari na alikuwa akijitambulisha kwa wagonjwa kwamba anaitwa Dk Abdallah Juma.
Mtu huyo alikuwa akijifanya kutoa huduma katika Maabara Kuu. Uongozi wa hospitali hiyo umesema kuwa kijana huyo ni daktari feki na si daktari kama alivyokuwa akijitambulisha na kwamba amekamatwa baada ya kuwekewa mtego na askari wa hospitali hiyo.
Uongozi wa hospitali hiyo umesema kuwa walinzi walikuwa wakimtilia shaka na kuanza kumfuatilia hadi walipofanikiwa kumkamata.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha amesema hospitali imeweka mikakati mbalimbali ya kupambana na wahalifu wakiwamo watu wanaojiita ni madaktari kama huyo ambaye amekamatwa leo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Muhimbili Yamtia Mbaroni Daktari Feki Leo
Muhimbili Yamtia Mbaroni Daktari Feki Leo
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/06/DK-FEKI.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/muhimbili-yamtia-mbaroni-daktari-feki.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/muhimbili-yamtia-mbaroni-daktari-feki.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy