http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Linah afunguka idadi ya wanaume aliotembea nao


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

  sanii Linah Sanga ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa 'Same boy' akiwa ameshirikiana na msanii...

'MATUSI' YA MANGE KIMAMBI BAADA YA KUTUHUMIWA KWA MAKOSA YA KIMITANDAO.
Zari Hassan Afanya Kufuru Kwa Pesa za Ivan..Achoshwa na Bata Ndogo Ndogo za Diamond Platnumz
TAZAMA ALICHOKIANDIKA ASKOFU GWAJIMA BAADA YA KUACHIWA HURU NA MAHAKAMA
 
sanii Linah Sanga ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa 'Same boy' akiwa ameshirikiana na msanii Recho amefunguka na kuweka wazi idadi ya wanaume ambao ametembea nao na kufaidi penzi lake.

Linah Sanga akiwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV amesema kuwa toka amekuwa Linah na watu kumtambua kama msanii ametoka jumla ya wanaume watano japo anadai kuwa kuna wanaume wengine ambao ametoka nao kimapenzi hawakumbuki.

"Kwa haraka haraka nishatoka kimapenzi na wanaume kama watano hivi toka watu wamenifahamu kama Linah, sina idadi kubwa sana japo siwezi kuwakumbuka wote wengine nimeshawasahau kabisa, kuna watu wana idadi kubwa ya watu wametembea nao sema tu ni kwa sababu si wasaniii" alisema Linah Sanga

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Linah afunguka idadi ya wanaume aliotembea nao
Linah afunguka idadi ya wanaume aliotembea nao
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/02/28/KIKAANGONI%20LEO.jpg?itok=r22NNaQQ×tamp=1519821120
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/linah-afunguka-idadi-ya-wanaume.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/linah-afunguka-idadi-ya-wanaume.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy