http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

ANGALIA MWANAMKE ALIYEMUOA MWANAMKE MWENZAKE,NI RAIA KUTOKA AFRIKA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Moja ya baadhi za picha walizopigwa wanandoa hao ambapo majina yao hayakutajwa kwa sababu zisizojulikana. KINYUME na matarajio na utama...

MTOTO AFARIKI KWA KULIWA NA FISI KISHAPU - SHINYANGA
Utaratibu na Sifa za Kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Mrisho Mpotondani ya Nanenane Arusha

Moja ya baadhi za picha walizopigwa wanandoa hao ambapo majina yao hayakutajwa kwa sababu zisizojulikana.
KINYUME na matarajio na utamaduni wa Afrika, ndoa za jinsia moja ambazo ni jambo linaloshutumiwa kwa kiwango kikubwa barani Afrika, zinaonekana kuwanyemelea watu wa bara hili.
Pamoja na kupingwa karibu sehemu zote, tabia hiyo ambayo imeenea rasmi na au kwa kificho sehemu nyingi duniani, imeanza kuwa tishio la kuvuruga mifumo ya mila na tamaduni za asili za binadamu katika misingi ya kawaida ya kijamii, kidini na kimaumbile.
Katika tukio la hivi karibuni nchini Uholanzi, wanawake wawili waliosemekana kuwa ni wananchi wa Ghana, walifunga ndoa kwa kivuli cha mume na mke. Tukio hilo lilinaswa na vyombo mbalimbali vya habari vikiwaonyesha wanawake hao wakiwa katika mavazi ya harusi; mmoja akiwa amevaa mavazi ya kiume na mwingine mavazi ya kike.Katika mazingira ambayo hayakufahamika, majina ya wanandoa hao, hayakutajwa licha ya sura zao kuonyeshwa waziwazi.

Picha nyingine, miongoni mwa nyingi zilizonaswa ni ile wanayobusiana kuonyesha penzi lao, wakiwa wamevaa nguo zenye asili na mapambo ya Ghana.
Pamoja na tukio hilo kushutumiwa na baadhi ya watu wa Ghana, kuna uwezekano wa kuwepo au kuendelezwa kwa mjadala kuhusu ndoa za jinsia moja nchini humo.
Kwa mujibu wa Rais wa Ghana, Akufo Addo, akihojiwa na kituo cha Al Jazeera, nchi yake inaweza kuhalalisha ndoa za jinsia moja iwapo patakuwa na matakwa mengi ya kufanya hivyo.
WALUSANGA NDAKI/MITANDAO/MASHIRIKA

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : ANGALIA MWANAMKE ALIYEMUOA MWANAMKE MWENZAKE,NI RAIA KUTOKA AFRIKA
ANGALIA MWANAMKE ALIYEMUOA MWANAMKE MWENZAKE,NI RAIA KUTOKA AFRIKA
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/MAJANGA-1.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/angalia-mwanamke-aliyemuoa-mwanamke.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/angalia-mwanamke-aliyemuoa-mwanamke.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy