MWANZA: Jeshi la Polisi limewaonya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaotumia vibaya mitandao hiyo kufanya uhalifu ikiwemo ku...
MWANZA: Jeshi la Polisi limewaonya baadhi ya watumiaji wa
mitandao ya kijamii wanaotumia vibaya mitandao hiyo kufanya uhalifu
ikiwemo kuhamasisha 'maandamano haramu'
-
RPC Ahmed Msangi amesema "kuna watu wanapeana vihabari vya kwenye mitandao ya kijamii wafanye uhalifu na uhalifu wenyewe ni wa kufanya maandamano au mkutano usiokuwa na taarifa na kiukweli imepigwa marufuku"
-
Aidha, RPC Msangi wamewataka Polisi kufanya uchunguzi ili kuwabaini wanaoshinikiza hayo na kisha kuwahoji na kujua nia yao ya kutaka kufanya hivyo ni ipi
-
RPC Msangi ametoa onyo hilo wakati akizungumza na Polisi mbalimbali walipokuwa wakifanya mazoezi ya viungo katika uwanja wa Mabatini