http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

DC NDEJEMBI ASHIRIKI ZOEZI LA KUVURUGA BUSTANI ZILIZOLIMWA KARIBU NA VICHOTEO VYA MAJI


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deogratius Ndejembi akishiriki katika zoezi la kuvuruga bustani ambazo zimelimwa karibu na vichoteo vya maji k...

AJALI:LORI LA MAFUTA LATEKETEA WA MOTO MKOANI MBEYA
VIDEO: TAHARUKI! MALORI 3 YASHINDWA KUPANDA MLIMA
Flora ajibu kuhusu mtoto


Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deogratius Ndejembi akishiriki katika zoezi la kuvuruga bustani ambazo zimelimwa karibu na vichoteo vya maji kwa ajili ya matumizi ya wananchi.




…………………………………………………………
Na Mathias Canal, Dodoma

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deogratius Ndejembi ameshiriki katika zoezi la kuvuruga bustani ambazo zimelimwa karibu na vichoteo vya maji kwa ajili ya matumizi ya wananchi.
Dc Ndejembi ameamua kufanya zoezi hilo la kuharibu bustani hizo baada ya wananchi Karibu na vyanzo hivyo vya maji baada ya wananchi wanaoishi karibu na maeneo hayo kuamua kulima bustani za mboga mboga kwa kutumia maji ya bomba ambayo hupaswa kusukumwa kujaza tanki la kutunzia maji.

Uharibifu huo umefanywa na Dc Ndejembi huku akiwa ameongozana na Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ya Kongwa ikiwa ni sehemu ya utendaji Kazi na kuhamasisha ufanisi wa ukuzaji wa kilimo chenye tija.

Dc Ndejembi ameamua kufanya hivyo baada ya kubaini kuwa wananchi hao wamekuwa wakifungulia maji ya bomba na hatimaye kumwagika chini ili kumwagilia bustani zao nyakati za usiku muda ambao pampu inasukuma maji kuelekea kwenye Tanki lililopo makao makuu ya Wilaya ambalo hujazwa ili maji hayo yaweze kuwahudumia wakazi wa Mjini Kongwa.

Kadhia hiyo ya kufunguliwa maji kwa kificho nyakati za usiku imesababisha kutojaa kwa Tanki hilo Hali ambayo imesababisha kukosekana kwa maji katika maeneo ya Wilaya ya Kongwa.

Kabla ya kuanza kwa zoezi hilo la kuvuruga bustani hizo Dc Ndejembi aliamuru wananchi waliohudhuria katika zoezi hilo kuchuma mboga mboga zilizokuwepo katika bustani hizo sambamba na kuchota maji yote ambayo yalikuwa yamehifadhiwa katika bustani hizo kwa ajili ya kumwagilia bustani hizo.

Vichoteo vilivyotobolewa katika bomba kuu ambalo linalekea Mjini vipo katika kijiji cha Ibwaga ambavyo vilianzishwa maalumu kwa ajili ya kusaidia wanakijiji wa vijiji vya karibu

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : DC NDEJEMBI ASHIRIKI ZOEZI LA KUVURUGA BUSTANI ZILIZOLIMWA KARIBU NA VICHOTEO VYA MAJI
DC NDEJEMBI ASHIRIKI ZOEZI LA KUVURUGA BUSTANI ZILIZOLIMWA KARIBU NA VICHOTEO VYA MAJI
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2016/10/1-14.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjYvGyj83_pJZZEISpJV5ggJFWzqf8hrukWQKH7q7KsNteKdYe7DNj2BYYIyNFAGcW5A0IVIonOlqDfi21pObiOsdYeHmJLztotsUY6GP1aLC_0WkETEotsde5s99CW4gCpgU1yE6xMm0A/s72-c/2.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/dc-ndejembi-ashiriki-zoezi-la-kuvuruga.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/dc-ndejembi-ashiriki-zoezi-la-kuvuruga.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy