http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

(VIDEO) Mke wa R.O.M.A Amlipua Mbunge LIVE, Kisa ‘Zimbabwe’


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mama Ivan. IKIWA ni siku moja tangu mkali wa michano na mwanaharakati wa kweli Rymes of Magic Attraction R.O.M.A kuachia video ya ngoma...

Breaking News: WALIOFAULU USAILI KAZI ZA KISERIKALI -
Mama amuua mwanae kwa moto
Mwanamitindo Tz Calisah kufungua duka la kuuza mimba

Mama Ivan.
IKIWA ni siku moja tangu mkali wa michano na mwanaharakati wa kweli Rymes of Magic Attraction R.O.M.A kuachia video ya ngoma yake mpya aliyoipa jina la ‘Zimbabwe’, Nancy au Mama Ivan ambaye ni mke wa R.O.M.A amefunguka mengi kuhusu masahiri yaliyomo kwenye wimbo huo.

Akifanya mahojiano maalum kupitia kipindi cha Exclusive Interview cha Global TV, mama Ivan ameutaja msitari unaomuumiza na kumnyima usingizi ni kuhusu mmoja wa wabunge aliyetamka hadharani bungeni kuwa msanii huyo amemtukana Mkuu.

Msitari wenyewe;

..Na kuna mbunge alisema eti nimemtukana Mkuu, atahukumiwa na mkono wa Mungu,…. kwanza lini na kwa nini? Mimi nimtukane Mjomba? Umepewa gari la wagonjwa mimi Tanga ananijengea bomba…!

“Huo ndiyo msitari ambao unaniumiza, nikikumbuka yule mbunge aliyesema muacheni atekwe, anamtukana Rais? Kiukweli R.O.M.A hajawahi kumtukana Rais, ameimba kitu kilichomtokea, kilichomgusa na kipo moyoni. Sisi tumemwachia Mungu, tunasali sana na Mungu ndiye atahukumu mwisho wa siku,” alisema Mama Ivan.

Mama Ivan ameshukuru namna wimbo huo ulivyopokelewa na mashabiki wa R.O.M.A ambayo yamewashangaza wengi na kuvunja rekodi kwa muda mfupi ikiwa ni pamoja na kuwashukuru watanzania wote walioungana naye na kumfariji wakati wa matatizo.

MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : (VIDEO) Mke wa R.O.M.A Amlipua Mbunge LIVE, Kisa ‘Zimbabwe’
(VIDEO) Mke wa R.O.M.A Amlipua Mbunge LIVE, Kisa ‘Zimbabwe’
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/Nancy-1.jpg
https://i.ytimg.com/vi/adfLauPNXiM/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/video-mke-wa-roma-amlipua-mbunge-live.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/video-mke-wa-roma-amlipua-mbunge-live.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy