MAKETE, NJOMBE: Bweni moja katika Shule ya Sekondari Mang'oto limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo. Ladaiwa kuchomwa na Mwan...
-
Mwanafunzi huyo alikuwa analipa kiasi baada ya wenzie kumuadhibu kwa tuhuma za kumuibia Mwalimu wao
-

Kijana huyo anadaiwa kuvamia na kuiba katika kibamda cha biashara cha Mwalimu wa shule hiyo na kuiba Biskuti na Karanga
-
Mwalimu wake alipogundua kibanda chake kimebomolewa usiku, katika kufanya upelelezi akabaini Mwanafunzi wake ndiye amemuibia kwakua Wanafunzi walimuona mwenzao akiwa na bidhaa hizo
