http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Maajabu Haya!! GARI LAPATA AJALI,LAPAA JUU NA KUINGIA NDANI YA GHOROFA...ANGALIA PICHA HAPA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la California liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja ba...

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumanne
RANGI YA MWAKA 2018 NI PURPLE (UTRA VIOLET PURPLE 18-3838)
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO YA ELIMU YA JUU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la California liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara, taarifa zinasema.

Ajali hiyo, ambapo sehemu moja ya gari ilibaki ikining'inia nje ya jengo hilo, ilitokea mapema Jumapili asubuhi.
Watu wawili waliokuwa ndani ya gari hilo walinusurika na majeraha madogo, kwa mujibu wa polisi.
Polisi wameambia wanahabari kwamba dereva wa gari hilo anadaiwa kutumia dawa na alikuwa ametembelea hospitali moja.
Mmoja wa wawili hao alifanikiwa kujitoa kutoka kwenye gari hilo lakini huyo mwingine alikwama kwa zaidi ya saa moja hadi maafisa wa uokoaji walipofika.
Ajali hiyo pia ilisababisha kuzuka kwa moto mdogo ambayo wazimamoto walifanikiwa kuuzima.
Wazimamoto walipakia picha za kisa hicho na walikuwa wanawapata watu yaliyokuwa yakijiri siku yote..
Kisa hicho kilitokea Santa Ana, maili 35 (56km) kusini mwa Los Angeles

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Maajabu Haya!! GARI LAPATA AJALI,LAPAA JUU NA KUINGIA NDANI YA GHOROFA...ANGALIA PICHA HAPA
Maajabu Haya!! GARI LAPATA AJALI,LAPAA JUU NA KUINGIA NDANI YA GHOROFA...ANGALIA PICHA HAPA
https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/977B/production/_99597783_crash.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/maajabu-haya-gari-lapata-ajalilapaa-juu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/maajabu-haya-gari-lapata-ajalilapaa-juu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy