http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU, AKANIOMBA NIKAMKUBALIA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MSANII wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa alipigiwa simu na X wake ambaye ni Diamond Platinumz akimuomba afike Hyatt Regency H...

DC STAKI ASHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA BARABARA
DC HANDENI.MH GONDWE AFANIKIWA KUTATUA MGOGORO WA MPAKA ULIOKUWA UKIVIHUSISHA VIJIJI VIWILI WILAYANI HANDENI
NEC YAANZISHA PROGRAMU ENDELEVU ZA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA.

MSANII wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa alipigiwa simu na X wake ambaye ni Diamond Platinumz akimuomba afike Hyatt Regency Hotel kwa ajili ya kujumuika na watu wengine kwenye hafla ya kumtambulisha msanii mpya wa WCB, Maromboso ambapo hafla hiyo ilifanyika usiku wa kuamia leo.

“Nilipigiwa simu na Nasbu ‘Diamond’ akaniomba nije kwenye hafla ya kumtambulisha msanii wao mpya wa WCB, nikakubali nikamwambia haina shida nitakuja, akaniuliza idadi ya watu nitakaokuja nao nikamwambia nitafika na marafiki zangu na timu yangu. Hivyo nimefurahi leo kujumuika na WCB kuwapa kampani,” alisema Wema.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU, AKANIOMBA NIKAMKUBALIA
WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU, AKANIOMBA NIKAMKUBALIA
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2018/01/wema2.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/wema-diamond-amenipigia-simu-akaniomba.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/wema-diamond-amenipigia-simu-akaniomba.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy