http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mama amuua mwanae kwa moto


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga RPC Benedict Michael Wakulyamba, amethibitisha tukio la mtoto kuungua hadi k...

DOGO JANJA ATOA KAULI SIKUIOGOPA BASATA!,AFUNGUKA BAADA YA FUNGIA FUNGIA
WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WAZIDI KUWAVUURUGA WAREMBO,WATOA MAPOVU YA AJABU
ANGALIA MTOTO ATAKAYELIPWA MILIONI 134 KWA AMRI YA MAHAKAMA


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga RPC Benedict Michael Wakulyamba, amethibitisha tukio la mtoto kuungua hadi kufariki kwa moto uliowashwa na mama yake kwaajiuli ya kupikia wilayani Handeni.

RPC Benedict amesema tukio hilo limetokea Oktoba 12 mwaka huu katika kijiji cha Kwamwenda Kata ya Mlorwa Wilaya ya Handeni ambapo mtoto Kessy Kamuje mwenye miaka 3 amefariki kwa kuungua moto akiwa shambani na mama yake mzazi.
“Ni kweli tukio limetokea jana ambapo mtoto Kessy aliungua kwa moto baada ya mama yake kumlaza kwenye kibanda cha nyasi shambani ambacho kilishika moto aliokuwa ameuwasha kwaajili ya kupikia”, amesema RPC Benedict.
Kamanda ameeleza kuwa mama wa mtoto Kessy alifika shambani kwaajili ya shughuli za kilimo ambapo alimlaza mtoto kwenye kibanda cha nyasi na akawasha moto kwaajili ya kupika kisha akaendelea na shughuli za kilimo ndipo Kibanda kikashika moto na kumuunguza hadi kufa mtoto Kessy.
Kwa upande mwingine RPC Benedict amesema madereva kumi wa mabasi waliokamatwa jana kwa kosa la kuendesha kwa mwendokasi kinyume na sheria za usalama barabarani wanarajia kufikishwa mahakamani leo kwaajili ya kujibu mashitaka yanayowakabili.
“Ni kweli tumewakamata madereva 10, baadhi yao wanaendesha mabasi ya abiria yaendayo mikoani, wengine daladala za hapa jijini kwa makosa ya kuendesha mwendokasi na leo watafikishwa mahakamani kujibu mashitaka yao”, amesema RPC Benedict.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mama amuua mwanae kwa moto
Mama amuua mwanae kwa moto
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/10/13/RPC%20TANGA.jpg?itok=jzFjeFrJ×tamp=1507879299
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/mama-amuua-mwanae-kwa-moto.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/mama-amuua-mwanae-kwa-moto.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy