http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

DOGO JANJA ATOA KAULI SIKUIOGOPA BASATA!,AFUNGUKA BAADA YA FUNGIA FUNGIA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

ZIKIWA zimepita wiki mbili tangu aachie video ya ngoma yake ya Wayu Wayu, mkali wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ amekanusha...

Bweni moja katika Shule ya Sekondari Mang'oto limeteketea kwa moto
AJALI:LORI LA MAFUTA LATEKETEA WA MOTO MKOANI MBEYA
VIDEO: TAHARUKI! MALORI 3 YASHINDWA KUPANDA MLIMA
ZIKIWA zimepita wiki mbili tangu aachie video ya ngoma yake ya Wayu Wayu, mkali wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ amekanusha tetesi zilizoenea kuwa aliwaogopa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) ndiyo maana akaigiza kama ‘video queen’ katika video hiyo.
Akizungumza na Star Showbiz, Dogo Janja alisema, anashangazwa na watu kuendelea kuongelea sababu za kujifanya mwanamke katika video hiyo huku wakihusisha na Basata, alisema alichokifanya ni sehemu ya kazi za sanaa katika kufikisha ujumbe kwa jamii.
“Hapana, siyo kwamba niliogopa Basata, ujue hauwezi kuwa mwanasanaa kama huwezi kuichezea sanaa, nilichofanya ni ubunifu tu,” alisema Dogo Janja.
Katika video hiyo, Dogo Janja anaonekana akiwa amejipodoa huku akiwa ndani ya mavazi ya kike mwanzo mwisho.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : DOGO JANJA ATOA KAULI SIKUIOGOPA BASATA!,AFUNGUKA BAADA YA FUNGIA FUNGIA
DOGO JANJA ATOA KAULI SIKUIOGOPA BASATA!,AFUNGUKA BAADA YA FUNGIA FUNGIA
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/JANJA-1-600x381.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/dogo-janja-atoa-kauli-sikuiogopa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/dogo-janja-atoa-kauli-sikuiogopa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy