http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WAZIDI KUWAVUURUGA WAREMBO,WATOA MAPOVU YA AJABU


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Irene Amvaa Wema Sepetu Amtupia Dongo Zito Kisa ni Diamond Video vixen aliye jizolea umaarufu baada ya kuonekana kwenye video ya ‘Kwetu’ y...

TANZIA: Mwanafizikia Maarufu Duniani Prof. Stephen Hawking amefariki dunia
TANGA: Watu 5 wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji yaliyotokana na mvua kubwa
Bweni moja katika Shule ya Sekondari Mang'oto limeteketea kwa moto


Irene Amvaa Wema Sepetu Amtupia Dongo Zito Kisa ni Diamond Video vixen aliye jizolea umaarufu baada ya kuonekana kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii Rayvanny Irene, amemtolea povu zito staa wa Bongo movie Wema Sepetu huku ikidaiwa kisa ni penzi la Diamond.

Tangu Zari aweke wazi kuwa kaachana na Diamond na kuwa single Kumekuwa na tetesi nyingi sana kwenye social media juu ya nani hasa anayechukua nafasi ya Zari na moja kati ya Wanawake waliotajwa kuwa na uhusiano na Diamond kwa sasa ni Irene na Wema.

Kuna stori ili trend sana kwenye mitandao ya kijamii siku za nyuma kidogo ambapo ilisemekana kuwa Irene na Wema wamepeana kichapo cha maana baada ya kugongana Madale nyumbani kwa Diamond. Stori hiyo ilidai kuwa Diamond anatoka na Irene na Wema kwa wakati mmoja na wikiendi hii Irene kamtupia dongo Wema ambapo amemcheka kuwa anajiita African beauty wakati hata kiwanja hana!.

African beauty ni wimbo mpya wa Diamond na siku wimbo huo ulipotoka wasanii mbali mbali wa WCB akiwemo Harmonize alimtunuku Wema jina la African beauty jambo ambalo lilimfanya Wema ajitambe kuwa ni African beauty.

Fununu za Irene kuwa na Mahusiano na Diamond zilianza siku nyingi sana wakati bado Diamond yuko na Zari ingawa Diamond alikuwa anakataa kuwa hana Mahusiano naye.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WAZIDI KUWAVUURUGA WAREMBO,WATOA MAPOVU YA AJABU
WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WAZIDI KUWAVUURUGA WAREMBO,WATOA MAPOVU YA AJABU
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/DWEMA.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/wema-sepetu-na-diamond-platinumz-wazidi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/wema-sepetu-na-diamond-platinumz-wazidi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy