TANGA: Watu 5 wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha katika Wilaya za Handeni na Lushoto - Ka...
TANGA: Watu 5 wamefariki dunia baada ya
kusombwa na maji yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha katika Wilaya za
Handeni na Lushoto
-
Kati ya waliofariki wawili ni ndugu wa kutoka familia moja. Mvua zimenyesha katika wilaya hizo kwa muda wa siku 3 sasa
-
Mvua hiyo imesababisha Daraja la Lukozi lililopo Wilayani Lushoto kubomoka na kupelekea kukatika kwa mawasiliano kati ya wakazi wa Jimbo la Mlalo na Lushoto