http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

VIONGOZI WA DINI WANAOPENDA SANA SADAKA WAONYWA....


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

KANISA la Moravian la Uamsho Tanzania limekemea baadhi ya viongozi wa kidini wanaojipendekeza kwa watu wenye fedha kwa kutaka kuwaombea i...

Wakazi wa Arumeru Wanavyotaabika na Ukame, Hali Inatisha! (Video)
BREAKING NEWS: Kijana wa Miaka 18 Aliyekamatwa Kwa Tuhuma ya Utekaji na Uuaji wa Watoto Arusha Afariki
PICHA: NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM


KANISA la Moravian la Uamsho Tanzania limekemea baadhi ya viongozi wa kidini wanaojipendekeza kwa watu wenye fedha kwa kutaka kuwaombea ili wapate sadaka nono.

Aidha, kanisa hilo limeungana na makanisa ya Uamsho ya Moravian Marekani na duniani kote, kutoa tamko rasmi la kupinga ushoga na usagaji na kuweka bayana kuwa halitafungisha ndoa za jinsi moja.


Askofu Mkuu wa kanisa hilo Tanzania, Emmaus Mwamakula aliyasema hayo hivi karibuni katika Ibada ya kuwasimika wachungaji mashemasi na makasisi wa kanisa hilo iliyofanyika katika kanisa la Mbweni, Dayosisi Kuu ya Dar es Salaam.


Akizungumza katika ibada hiyo, Askofu Mwamakula alisema utumishi wa Mungu katika dunia hii umewekwa kwa kusudi la kuleta amani, furaha na umoja katika jamii, kusaidia waliotindikiwa imani kumkaribia Mungu zaidi na si kujinufaisha wenyewe.


IMEANDIKWA NA GLORIA TESHA

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : VIONGOZI WA DINI WANAOPENDA SANA SADAKA WAONYWA....
VIONGOZI WA DINI WANAOPENDA SANA SADAKA WAONYWA....
http://habarileo.co.tz/images/Kanisa.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/viongozi-wa-dini-wanaopenda-sana-sadaka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/viongozi-wa-dini-wanaopenda-sana-sadaka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy