http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mkuu wa wilaya apiga marufuku Ibada


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mkuu wa wilaya ya Musoma mkoani Mara, Dkt. Vincent Anney ameibuka na kupiga marufuku upigwaji wa muziki holela pamoja na baadhi ya mak...

Diamond aitambulisha rasmi nembo ya wasafi tv
MANGE KIMAMBI AMJIA JUU TENA SHEHE WA DAR
WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU, AKANIOMBA NIKAMKUBALIA



Mkuu wa wilaya ya Musoma mkoani Mara, Dkt. Vincent Anney ameibuka na kupiga marufuku upigwaji wa muziki holela pamoja na baadhi ya makanisa yanayofanya ibada kwa masaa 24 na kusema wanavunja haki za watu wengine.


Dkt. Vincent Anney amewataka watu wa makanisa kuwasilisha kwake ratiba yao ya ibada kwa kuwa wana haki ya kuabudu na amewataka pia wanaotaka kufanya mikutano ya injili lazima wapate kibali kwa ajili ya mikutano hiyo.

"Wana haki ya kuabudu wawasilishe ratiba ya zao za kuabudu katika ofisi yangu ya Mkuu wa Wilaya wakitaka kufanya mikutano ya nje wapate kibali, mimi nimepiga marufuku muziki wa holela uwe wa dini wa kawaida, muziki wa dansi ambao watu wanapiga masaa 24 kuna haki za raia wengine vinavunjwa na hao wenye makanisa ambao wanahubiri masaa 24" alisema Mkuu wa Wilaya ya Musoma

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mkuu wa wilaya apiga marufuku Ibada
Mkuu wa wilaya apiga marufuku Ibada
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/08/30/Mkuu%20wa%20wilaya.jpg?itok=9tH297ok×tamp=1504107907
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/mkuu-wa-wilaya-apiga-marufuku-ibada.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/mkuu-wa-wilaya-apiga-marufuku-ibada.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy