http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

MANGE KIMAMBI AMJIA JUU TENA SHEHE WA DAR


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Bwana eeh malalamiko mengi kuwa nawadhalilisha wanawake wa kiislamu sababu ya huyo shetani wanasema wengine washalia na Mungu ...

ANGALIA MTOTO ATAKAYELIPWA MILIONI 134 KWA AMRI YA MAHAKAMA
Mwalimu Mkuu Ajinyonga Akiwa Ofisini Kwake baada ya kugawa chaki kwa walimu ,aandika Ujumbe Mzito
ANGALIA MWANAMKE ALIYEMUOA MWANAMKE MWENZAKE,NI RAIA KUTOKA AFRIKA


Bwana eeh malalamiko mengi kuwa nawadhalilisha wanawake wa kiislamu sababu ya huyo shetani wanasema wengine washalia na Mungu na kusamehewa alafu mimi nafukua dhambi zao upya. Yani miushungi imenijalia huko DM na whatsapp wananiambia ntapata dhambi sijui nini.... . . Wanawake wengine nliowaposti wanaomba niwafute mwingine mpaka anatishia atajiua.So naona bora nifute maposti yote ya shehe yenye picha na majina ya hao wanawake maana sina amani wengine wanaomba kihuruma mpaka nakosa raha ya kumchamba shehe. Huyo hakimu niliyemposti sasa hivi nahisi mahakama nzima imeingia insta kuniambia nimtoe hakimu wao,he jamani!! Na nyie wanawake kabla ya kujihusisha na huyu malaya wa kiume anaejiita shehe muwege mnafirikiria vyeo vyenu. . . leo nilitaka nikeshe humu tena! Ila nahisi sasa ntasomewa albadiri na watu ambao dua yao itapokelewa 😂 maana kuna mmoja hapo nimeambiwa alienda na Macca mwaka jana. Sasa huyo akinishtaki lazma nikutwe na hatia 😩 . . We Alhadi wewe, ushukuru wanawake zako mbwa wewe!! . . Na majini yako bado hayajafika marekani mpaka saa hii nahisi yamekwamia Ikulu!! na nimeambiwa huna elimu ya kumtumia mtu majini ila unamtegemea mufti ndo akufanyie sababu Mufti anayo hiyo elimu ya kutuma majini ya shari. Huyo Mufti nae akikusaidia atakuwa sio mzima maana unamfanyia fitna za chini chini ili uchukue nafasi yake na Bashite na Magu wanafanya juu chini wakuweke hapo uwe Mufti sababu wewe wanakumudu ili wakutumie vizuri kunyanyasa waislamu na kulinda interest za serikali. Wajaa laana wooote nyie!!!yani mtenda dhambi kama wewe ndo uwe mufti?? Ni kuidhalilisha dini kupita kiasi. Hufai hata kuwa mfagiaji hapo Bakwata jinsi unavyonuka dhambi. Anyways Mufti nae anitumie majini asinitumie hayavukiiii bahari hayo yoooote yataishia Ikulu na mengine yatapenya kwenye matako yako, Gullam Dewji apambane nayo.Shwein!!!
A post shared by Mange Kimambi (@mangekimambi_) on

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MANGE KIMAMBI AMJIA JUU TENA SHEHE WA DAR
MANGE KIMAMBI AMJIA JUU TENA SHEHE WA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinefnT-xFWEzFbpD1-gLhoAXf8oysJRk1jfp90Gxi5pweQhItAtBAE1oI42RmLdwt-DWQwfkEa2L3bS7lrm2qa_9EoZSoDkJgIl19mUsiWJYatEvqYPPYnVyNQYwJhRxL87C5s67V9VpT1/s1600/26871826_152992932027798_8614338621945675776_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinefnT-xFWEzFbpD1-gLhoAXf8oysJRk1jfp90Gxi5pweQhItAtBAE1oI42RmLdwt-DWQwfkEa2L3bS7lrm2qa_9EoZSoDkJgIl19mUsiWJYatEvqYPPYnVyNQYwJhRxL87C5s67V9VpT1/s72-c/26871826_152992932027798_8614338621945675776_n.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/mange-kimambi-amjia-juu-tena-shehe-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/mange-kimambi-amjia-juu-tena-shehe-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy