http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Familia yaanika utabiri juu ya Babu Seya, Papii


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Familia ya Babu Seya imeeleza kuwa tukio la kuachiwa huru kwa mzee Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye Johson Nguza lilitabiriwa na Nabii...

Nape Amvaa Tena Makonda kuhusu Sakata la Kuvamia Kituo cha Clouds
Wanafunzi wengine watatu wapoteza maisha leo Geita Baada ya Mtumbwi Wao Kuzama
KIMENUKA! Ruge Amjibu Paul Makonda.. SOMA HAPA
Familia ya Babu Seya imeeleza kuwa tukio la kuachiwa huru kwa mzee Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye Johson Nguza lilitabiriwa na Nabii.
Akizunguza jana katika ibada ya Kanisa la Life In Christ Ministry Zoe lililopo Tabata jijini Dar es Salaam, mtoto wa Babu Seya, Michael Nguza (Nabii Nguza) alisema kuwa Mchungaji wa Kanisa hilo, Nabii Joseph alitabiri mara tatu kuwa wanamuziki hao wataachiwa huru.
“Utabiri wa kwanza ulikuwa mwaka 2012, wa pili mwaka 2014 na wa tatu ni Mei 21 mwaka huu. Alisema watu wawili ambao ni baba na mwanaye wataachiwa huru, mmoja ni kijana na mwingine ni mzee,” alisema Nabii Nguza.
Alisema kuwa kila aliposikia utabiri huo alikuwa anapeleka ujumbe huo kwa ndugu zake hao gerezani.
Babu Seya na wanaye walifungwa jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kuwabaka na kuwalawiti watoto 10 wa kike, waliokuwa wanafunzi wa shule ya msingi Mashujaa, Sinza jijini Dar es Salaam.
Baada ya kukaa gerezani kwa miaka 13, Disemba 9 mwaka huu, Rais John Magufuli aliwataja kuwa miongoni mwa wafungwa waliopata msamaha wa Rais.Babu Seya na mwanaye walifika katika kanisa hilo na kuombewa na Nabii Joseph muda mfupi baada ya kutoka katika gereza la Ukonga.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Familia yaanika utabiri juu ya Babu Seya, Papii
Familia yaanika utabiri juu ya Babu Seya, Papii
https://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2017/12/Babu-Seya-2.jpg?resize=640%2C426
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/12/familia-yaanika-utabiri-juu-ya-babu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/12/familia-yaanika-utabiri-juu-ya-babu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy