http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

IGP, DCI na AG waitwa Mahakamani kujibu kuhusu Abdul Nondo

Leo March 19,2018   tunayo story kuhusu Mwanafunzi Abdull Nondo, ambapo Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa wito kwa Mkurugenzi wa Upelelezi...

Leo March 19,2018 tunayo story kuhusu Mwanafunzi Abdull Nondo, ambapo Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa wito kwa Mkurugenzi wa Upelelezi Tanzania (DCI), Mkuu wa Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kufika mahakamani hapo kujibu hoja kuhusu Nondo kutofikishwa mahakamani.
Akizungumza na Ayo, Wakili wa kujitegemea, Jebrah Kambole amesema wamewasilisha maombi kuhusu Nondo katika Mahakama hiyo tangu Ijumaa iliyopita wakiwa na hoja tatu.
Amesema maombi hayo wanaomba apewe dhamana, ama apelekwe mahakamani ama aachiwe huru.
“Tangu aletewe Dar es Salaam hakuna aliyeonana naye si ndugu, mawakili wala wanafunzi wenzake na hajafikishwa mahakamani hivyo tumeona njia ya pekee ni kwenda mahakamani kwa sababu ana haki ya kupata dhamana kama watu wengine,” -Jebrah.
Jebra amesema kuwa kutokana na maombi waliyoyafungua, leo March 19, Mahakama Kuu imetoa wito kwa DCI, IGP na AG ili wafike mahakamani kujibu hoja hizo.
“Mahakama imetoa wito kwa viongozi hao ambapo wametakiwa kufika mahakamani March 21, 2018,” -Jebrah

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : IGP, DCI na AG waitwa Mahakamani kujibu kuhusu Abdul Nondo
IGP, DCI na AG waitwa Mahakamani kujibu kuhusu Abdul Nondo
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2018/03/NOO.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/igp-dci-na-ag-waitwa-mahakamani-kujibu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/igp-dci-na-ag-waitwa-mahakamani-kujibu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy