http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

MAJENGO 10 MAKUBWA YA MAKANISA DUNIANI?? (HAYA HAPA) ..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kanisa ni mahali ambapo Wakristo wanakutana kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu.Mara nyingi mfumo wa ujenzi unatofautiana kati ya kani...

DOWNLOAD VIDEO | Joel Lwaga – Yote Mema
NGOMA MPYA YA Angel Benard - Siteketei TUISIKILIZE SASA
Bwana Harusi


Kanisa ni mahali ambapo Wakristo wanakutana kwa ajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu.Mara nyingi mfumo wa ujenzi unatofautiana kati ya kanisa na kanisa na kati ya dhehebu na dhehebu.

Hapa nakuletea jumla ya makanisa 10 makubwa duniani kutoka kwenye madhehebu mbalimbali uya Kikristo

10. Sanctuary of Our Lady of Liche?, Poland

The Sanctuary of Our Lady ni kanisa kubwa kuliko yote nchini Polandna la 7 kwa ukubwa barani Ulaya .Kanisa hili lilianza kujengwa mwaka 1994 mkapa 2004.

9. Basilica of Our Lady of Peace, Ivory Coast


Kanisa la Basilica of our Lady of Peace of Yamoussoukrola nchini Ivory Coast ,ni kanisa la Roman Catholic na limetajwa kwenye kitabu cha Guinness World Records kama kanisa kubwa kuliko yote duniani. Liko kwenye eneo la 30,000 square meters (322,917 sq ft),na linachukua idadi ya waumini 8,000 kwa wakati mmoja.Kanisa hili la Basilica lilijengwa kati ya mwaka 1985 na 1989 na lilizinduliwa mwaka 1990 na Pope John Paul II.

8. Basilica of the Sacred Heart, Belgium

Hili ni kanisa la nchini Beligium linaloitwa National Basilica of the Sacred Heart likiwa ni kanisa la Roman Catholiclikiwa kwenye Parish inayoitwa Brussels, Belgium. Mfalme King Leopold II aliweka jiwe la msingi mwaka 1905wakati wa siku yake ya kukumbuka siku ya uhuru wa nchi hiyo kutimiza maka75.Ujenzi wake ulisimama baada ya vita ya pili ya dunia a baadaye kuendelea tena na ujenzi na kumalizika mwaka 1969.

7. Milan Cathedral, Italy

Milan Cathedral (Duomo di Milano) nalo linasemekana ni kanisa kubwa kuliko yote duniani.Kanisa hili lilianza kujengwa mwaka 1386 na kumalizika 1965. Lina uwezo wa kuchukua waumini 40,000 people. Ni mojawapo ya kanisa kubwa la Gothic cathedral duniani na mojawapo ya kanisa maarufu barani Ulaya.

6. Church of the Most Holy Trinity, Portugal

Kanisa la Church of the Most Holy Trinity ni la nne kwa ukubwa kwa makanisa ya Katoliki na la sita kwa makanisa ya Kikristo duniani. Kanisa hili lilijengwa kati ya mwaka 2004 mpaka 2007 na likazinduliwa rasmi October 12, 2007. Lina uwezo wa kuchukua waumini 9,000 kwa wakati.

5. Liverpool Cathedral, United Kingdom

Kanisa la Cathedral Church of Christ la Liverpool, England ni la tano kwa ukubwa duniani.Kanisa hili liko kwenye eneo la 103,334 square feet (9600 square meters) na eneo kubwa la kanisa hili limejengwa kwa mawe. Kengele ya kanisa hili ni kubwa kuliko zote duniani na imepewa jina Barttlett Bells.

4. Cathedral of Saint John the Divine, United States


Kanisa la Cathedral Church of Saint John the Divine lililoko kwenye mji wa New Yorklinasemekana ndilo kuba kuliko yote kwa makanisa ya Anglikan na la nne kwa ukubwa kwa makanisa ya Kikristo duniani. .

3. Cathedral of Seville, Spain

Kanisa hili pia linajulikana kama Catedral de Santa Maria de la Sede (Cathedral of Saint Mary of the See), Kanisa hili lilianza ujenzi wake mwaka 1402 na kuendelea mkapa kwenye karne ya 16.Liko kwenye eneo la sq m.11,520

2. Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida, Brazil

Kanisa hili la The new Basilica of the National Shrine of Our Lady of Aparecida lilijengwa mwaka 1955 lina uwezo wa kuchukua waumini 45,000 . Pope John Paul aliliita kanisa hili kama kanisa maalum nchini Brazil.

1. St. Peter’s Basilica, Vatican City

Hili ni kanisa kubwa kuwahi kuwepo duniani.Liko nchini Italy kwenye mji wa Roma.Lina uwezo wa kuchukua waumini mpaka 60,000. Kanisa hili la Basilica lilianza kujengwa mwaka 1506 mkapa 1626 na Michelangelo mmojawapo wa wasanifu wakubwa wakati huo wa majengo

Credity.......Maisha ya Ushindi

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MAJENGO 10 MAKUBWA YA MAKANISA DUNIANI?? (HAYA HAPA) ..
MAJENGO 10 MAKUBWA YA MAKANISA DUNIANI?? (HAYA HAPA) ..
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiH1ugvNvshtmQdvlyKeUS3fqlENhamILPjBnMdu5zMWd4qqKMKUnVsNMWNJdP1j1kkv_Fd4pqT1t7fcBLG0hm04PH_UZYfBeRniFyrlrYnTMxWX5CiZjDmtoeWtoSrdrM8BRJztphFEEva/s640/10.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiH1ugvNvshtmQdvlyKeUS3fqlENhamILPjBnMdu5zMWd4qqKMKUnVsNMWNJdP1j1kkv_Fd4pqT1t7fcBLG0hm04PH_UZYfBeRniFyrlrYnTMxWX5CiZjDmtoeWtoSrdrM8BRJztphFEEva/s72-c/10.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/majengo-10-makubwa-ya-makanisa-duniani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/majengo-10-makubwa-ya-makanisa-duniani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy