http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Nape Amvaa Tena Makonda kuhusu Sakata la Kuvamia Kituo cha Clouds

Miezi michache ikiwa imepita tangu kutokea tukio la uvamizi wa kituo cha Clouds Media Group na kuundwa kwa kamati ya kuchunguza tukio hil...


Miezi michache ikiwa imepita tangu kutokea tukio la uvamizi wa kituo cha Clouds Media Group na kuundwa kwa kamati ya kuchunguza tukio hilo, hatimaye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemvaa tena Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kusema kwamba hakuunda kamati ya kumchunguza yeye, bali aliunda kamati ya kuchunguza tukio la kuvamiwa kwa kituo cha utangazaji cha Clouds Media Group.


“Niliunda kamati kuchunguza tukio la kuvamiwa kituo cha utangazaji sio kumchunguza RC. Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, hayuko juu ya sheria,” ameandika Nape kupitia ukurasa wake wa Twitter.


Kauli ya Nape kuhusu kuunda kamati imekuja ikiwa ni takribani saa 24 tangu Makonda aliposema kuwa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliunda kamati ya kumchunguza.


Makonda alisema hayo jana, ambapo alidai kuwa kamati iliyoundwa na Waziri isingeweza kumhoji kwa sababu haikuwa na uwezo huo kutokana na wajumbe wa kamati hiyo kutofahamu mambo yanayohusiana na masuala ya uvamizi.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Nape Amvaa Tena Makonda kuhusu Sakata la Kuvamia Kituo cha Clouds
Nape Amvaa Tena Makonda kuhusu Sakata la Kuvamia Kituo cha Clouds
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5cf0EBTdgQ49ahyphenhyphenn-Ey7cEOx32U_oC61zFDOi7Z9OoA0k1DhtSGNjY4W1fPCrZwDzlaSoBUSblYYuw1PzJkBR9F9IROEm92mGDsiPbeLQS3NPCYX6nIyYmCBp37T5xQJ_52yTbkwT5Lzp/s1600/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5cf0EBTdgQ49ahyphenhyphenn-Ey7cEOx32U_oC61zFDOi7Z9OoA0k1DhtSGNjY4W1fPCrZwDzlaSoBUSblYYuw1PzJkBR9F9IROEm92mGDsiPbeLQS3NPCYX6nIyYmCBp37T5xQJ_52yTbkwT5Lzp/s72-c/1.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/nape-amvaa-tena-makonda-kuhusu-sakata.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/nape-amvaa-tena-makonda-kuhusu-sakata.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy