http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Amuua Mkewe na Kuificha Maiti Kwenye Mbuyu kwa Miaka 8


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwanaume  mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kumuua mke wake ...

Godbless Lema augua ghafla gerezani......ashindwa kufika mahakamani Kusikiliza Kesi Zinazomkabili
Mkuu wa Wilaya aagiza kukamatwa mwandishi wa habari wa ITV
Shahidi wa pili atoa ushahidi Kesi ya Tundu Lissu.......Neno ‘dikteta uchwara’ Latikisa
Mwanaume  mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kumuua mke wake miaka minane iliyopita kisha kuuficha mwili wa marehemu kwenye mbuyu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Deborah Magiligimba, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa baada ya kukamatwa alikiri kutenda kosa hilo na kwenda kuonyesha mwili wa marehemu aliokuwa ameuhifadhi ndani ya mbuyu ambapo jeshi hilo kushirikiana na wananchi limefanikiwa kupata mabaki yake.

Inadaiwa kuwa mnamo Julai 10, 2010 katika Kijiji cha Yulansoni Kata na Tarafa ya Kinyangiri Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Tabu Robert (28) ambaye kwa kabila ni Mnyiramba, mkulima wa Yulansoni, aliuawa na mume wake aitwae Bernard Shumba Siza (47), Mnyiramba na mkulima wa Yulanson
Baada ya Mmuhumiwa kufanya tukio hilo aliuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuuficha kwenye mti wa mbuyu ambao una tundu kubwa na kisha aliripoti polisi kituo kidogo cha Kinampanda Mkalama kuwa mke wake ametoroka na alianza kumtafuta hadi tarehe Machi 17, 2018 ambapo taarifa zilipopatikana kuwa alimuua.

Baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuhojiwa alikiri kufanya kitendo hicho na kuonyesha sehemu alipouficha mwili huo Machi 18, mwaka huu majira ya saa 10:00 jioni.

Mkuu wa polisi kituo cha  Mkalama na timu yake ya makachero walifika eneo la tukio na kufanikiwa kupata mabaki ya mifupa yakiwa ndani ya mti huo. Baadhi ya mifupa imechukuliwa kwa ajili ya kupelekwa kwa mkemia wa serikali na iliyobakia ndugu wamekabidhiwa kwa ajili ya mazishi.



Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Amuua Mkewe na Kuificha Maiti Kwenye Mbuyu kwa Miaka 8
Amuua Mkewe na Kuificha Maiti Kwenye Mbuyu kwa Miaka 8
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglAxU9WJ9QloLFBY8FoRWM36mOasGcmLzr3jRFY6s_-lg5Al_t18IWLzNkcoLQC35vXfn3WZ1uczymb8bCFELbzGwbvjafON2dq1iwxl7o4LRcUJtyOM18kv2YxGwMloOUQEdk_rHeOLU/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglAxU9WJ9QloLFBY8FoRWM36mOasGcmLzr3jRFY6s_-lg5Al_t18IWLzNkcoLQC35vXfn3WZ1uczymb8bCFELbzGwbvjafON2dq1iwxl7o4LRcUJtyOM18kv2YxGwMloOUQEdk_rHeOLU/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/amuua-mkewe-na-kuificha-maiti-kwenye.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/amuua-mkewe-na-kuificha-maiti-kwenye.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy