http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mwanaume amzika Mwanaye wa miaka 6 akiwa hai….ilikuwaje?

Polisi nchini Kenya wameanza kufanya uchunguzi kuchunguza tukio la kifo cha mtoto wa umri wa miaka sita katika eneo la Suna nchini humo ...

Polisi nchini Kenya wameanza kufanya uchunguzi kuchunguza tukio la kifo cha mtoto wa umri wa miaka sita katika eneo la Suna nchini humo baada ya baba yake mzazi kumzika ardhini akiwa hai, hadi kupoteza maisha.
Inaelezwa kuwa usiku wa March 14, 2018 baba mtoto huyo anayejulikana kama Marcellus Odek alifika nyumbani hapo na kuchukua jembe kisha kuanza kuchimba shimo na baadaye kumchukua mtoto wake huyo na kuanza kumfukia.
Kwa mujibu wa Kiongozi Msaidizi wa eneo hilo Fredrick Owino, mwanaume huyo alifanya kitendo hicho kipindi ambacho hakukuwa na mtu yeyote nyumbani kasoro mke wake tu Annah Auma ambaye alimkuta amepoteza fahamu kutokana na ugonjwa wa kifafa ambao anao.
Owino amesema mwanaume huyo alipofika nyumbani alikuwa amelewa na hivyo alivyoyafanya kwa kiasi kikubwa yalishinikizwa na yeye kuwa amelala.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanaume amzika Mwanaye wa miaka 6 akiwa hai….ilikuwaje?
Mwanaume amzika Mwanaye wa miaka 6 akiwa hai….ilikuwaje?
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2018/03/unnamed-660x400.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwanaume-amzika-mwanaye-wa-miaka-6.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwanaume-amzika-mwanaye-wa-miaka-6.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy