http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Wanafunzi wengine watatu wapoteza maisha leo Geita Baada ya Mtumbwi Wao Kuzama

Watu watatu ambao ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Butwa mkoani Geita wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama katik...


Watu watatu ambao ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Butwa mkoani Geita wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Victoria, mkoani Geita.


Kamanda wa Polisi Mkoani Geita amesema tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 10 jioni wakati wanafunzi hao walipokuwa wakivuka maji kwa kutumia mitumbwi miwili wakitoka shuleni katika kisiwa cha Isimacheli kurudi majumbani kwao katika kisiwa cha Lulegea.


Amesema wanafunzi hao jumla walikuwa 24 ambao walijigawa kwa kupanda wanafunzi 12 katika kila mtumbwi ambapo mtumbwi wa kwanza ulifanikiwa kuvuka salama, lakini mtumbwi wa pili ulielemewa mawimbi na hatimaye kuzama.


Amesema kwamba kabla mtumbwi huo haujazama, nahodha wa mtumbwi huo baada ya kuona anaelemewa aliamua kurudi nyuma ili aurudishe ufukweni lakini wakati akijaribu kurudi mtumbwi ulizidiwa na kuzama ambapo wanafunzi 9 wote wa kiume walinusurika baada ya kufanikiwa kuogelea huku watatu ambao wote ni wa kike wakipoteza maisha.


Amewataja waliofariki dunia kuwa ni pamoja na Kumbuka Bahati (13) mwanafunzi wa darasa la 3, Anastazia Mwita mwanafunzi wa darasa la 3 na Sophia Lusala mwanafunzi wa darasa la Kwanza.


Amesema mwili wa mwanafunzi mmoja ulipatikana jana majira ya jioni na miili miwili imepatikana leo ikiwa imeharibika vibaya


Jeshi hilo linamshikilia nahodha wa mtumbwi huo anayefahamika kwa jina la Hulugu Kayalenda na uchunguzi bado unaendelea.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Wanafunzi wengine watatu wapoteza maisha leo Geita Baada ya Mtumbwi Wao Kuzama
Wanafunzi wengine watatu wapoteza maisha leo Geita Baada ya Mtumbwi Wao Kuzama
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUtHiV2RwshnLd-t9A6twGQyGlORPXUJnxOGjRXRDxIRI2GG8mhAglp8dWtDtn0CVrGUBdOphZWeQjxTmkHIX6nfE4fYKjvzEzds7axTy-0KpwW6ReeTGJAvQGQ_1qDsWMjmNk3gfzocap/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUtHiV2RwshnLd-t9A6twGQyGlORPXUJnxOGjRXRDxIRI2GG8mhAglp8dWtDtn0CVrGUBdOphZWeQjxTmkHIX6nfE4fYKjvzEzds7axTy-0KpwW6ReeTGJAvQGQ_1qDsWMjmNk3gfzocap/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/wanafunzi-wengine-watatu-wapoteza.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/wanafunzi-wengine-watatu-wapoteza.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy