http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

CCM Walaani Matamshi ya Lowassa......Waitaka Serikali Imchukulie Hatua


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Chama cha Mapinduzi CCM kimelaani kauli za kichochezi na zakidini zilizofanywa na mmoja kati ya mwanasiasa nchini, zenye lengo la kuwafit...

Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu
Rais Wa Simba Fc Alazwa Muhimbili.....Mahakama yaelezwa anasumbuliwa na Figo
RC aagiza kusakwa waizi wa Magunia 1000 ya Mahindi ya Serikali.

Chama cha Mapinduzi CCM kimelaani kauli za kichochezi na zakidini zilizofanywa na mmoja kati ya mwanasiasa nchini, zenye lengo la kuwafitinisha watanzania.


Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi CCM ndugu Humphrey Polepole amebainisha hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huku akiiomba serikali ikithibitika mtu amekosea serikali isiwe na ajizi kuchukua hatua kwa aina ya mtu huyo.


Siku ya Jumanne na leo Alhamisi, aliyekuwa Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amehojiwa na Jeshi la Polisi kwa kilichodaiwa kuwa ni maneno ya kichochezi aliyoyatoa kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu wakati alipohudhuria Futari iliyokuwa imeandaliwa na Mbunge Waitara.


Katika futari hiyo, Lowassa anadaiwa kutoa maneno ya uchochezi kuhusu masheikh wa Taasisi ya Uamsho wanaoshikiliwa na magereza akidai kwamba utaratibu wa kisheria ufanyike ili kuwaachia huru masheikh hao.


Katika hatua nyingine, Polepole amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaunga Mkono Kauli ya Rais Magufuli ya kutorudi masomoni kwa wanafunzi waliopata ujauzito wakiwa shule kwenye mfumo rasmi wa Elimu.

Polepole amesema kuwa wanafunzi waliopata ujauzito hawataweza kurudi shuleni kwenye mfumo rasmi isipokuwa kwenye Mfumo wa elimu ya watu wazima.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : CCM Walaani Matamshi ya Lowassa......Waitaka Serikali Imchukulie Hatua
CCM Walaani Matamshi ya Lowassa......Waitaka Serikali Imchukulie Hatua
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi04AG649WNPKD1cvc3pa7gKrICqnsx3ssrQzUdeAzAxoRAPvsb4I31GLKb3Z2VLGQWMPioVMGnEP0KCeg7HnULqQGdmR1IYMKX1JGh4dFH-SNyVCFD7kjNIPze19q_zzzBFznsJ5jH0Dps/s640/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi04AG649WNPKD1cvc3pa7gKrICqnsx3ssrQzUdeAzAxoRAPvsb4I31GLKb3Z2VLGQWMPioVMGnEP0KCeg7HnULqQGdmR1IYMKX1JGh4dFH-SNyVCFD7kjNIPze19q_zzzBFznsJ5jH0Dps/s72-c/1.jpeg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/ccm-walaani-matamshi-ya-lowassawaitaka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/ccm-walaani-matamshi-ya-lowassawaitaka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy