http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Ndege ya urusi ilioanguka Watu 11 wamepatikana wamefariki baada ya ndege walioabiri aina ya helikopta kuanguka magha...

Kigogo TBC ‘ajimilikishia’ kiwanja cha shirika
Lowassa Auponda Uongozi wa Rais Maguful
Papa Francis kutoa tamko muhimu kuhusu ndoa

Watu 11 wamepatikana wamefariki baada ya ndege walioabiri aina ya helikopta kuanguka magharibi mwa mji wa Norway Bergen ikiwa na abiria 13 kulingana na vyombo vya habari vya eneo hilo.

Picha za eneo la mkasa zinaonyesha moshi mkubwa ukifuka kutoka katika mwamba.Ndege hiyo iliharibika vibaya,ripoti zimesema.

Ilikuwa ikipaa kutoka eneo la mafuta la Gullfaks kuelekea mjini Bergen ambacho ni kituo kikubwa cha viwanda vya mafuta ya baharini na gesi.

Msemaji wa polisi Morten Kronen amesema kuwa operesheni kubwa ya uokozi inaendelea ikishirikisha zima moto,waogeleaji na maafisa wa matibabu.

Walioshuhudia ajali hiyo wamesema kuwa waliona bawa moja la ndege liking'oka.
''Kulikuwa na mlipuko na sauti mbaya ya mashini ya ndege hiyo kwa hivyo nikachunguza kupitia dirishani''.Nilioona ndege hiyo ikianguka kwa haraka baharini.

''Baadaye nikaona mlipuko mkubwa'',mkaazi mmoja aliliambia gazeti la Bergensavisen.
Vifusi kadhaa vilipatikana katika eneo la nchi kavu huku vyengine vikiwa ndani ya bahari,vyombo vya habari vya eneo hilo vilisema.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege
Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/11/06/151106171017_russia_plane_crash_624x351_reuters_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/watu-11-wafariki-katika-ajali-ya-ndege.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/watu-11-wafariki-katika-ajali-ya-ndege.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy