http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

 Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara  kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mke...

Fisi waua watoto wawili na kujeruhi wengine,Arusha.
Sakata la Madawa: Vanessa Mdee Akamatwa na Polisi, Apelekwa kwa Mkemia Mkuu
Tanzia: Mama Mlezi wa Rais Mstaafu Kikwete afariki dunia..
 Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara  kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.

Samike (wa pili kulia) akiwa na watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU baada ya kumkabidhi Wastara fedha hiyo.
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na mwigizaji Wastara pamoja na SHILAWADU baada ya kumkabidhi msaada wa 15m/- kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. Pia aliwasilisha mchango wa sh milioni moja na laki tisa toka kwa wasaidizi wa Rais. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu
Rais Magufuli na Mkewe Wamemchangia Wastara Mil 15/= Za Matibabu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilTn5UXbKpGTVy6AedE4DwfhuZKQUa-Dy0PxZShwO4MaEu0feCnCFItXVT2j76sPGGluyazOT2XE5GAS6k-PY2i60OqJZ1W1Qy0jtMg-_Q1RJM7YdgnDtZKeEfyEmZUv4nDdt2N2PsJ7DZ/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilTn5UXbKpGTVy6AedE4DwfhuZKQUa-Dy0PxZShwO4MaEu0feCnCFItXVT2j76sPGGluyazOT2XE5GAS6k-PY2i60OqJZ1W1Qy0jtMg-_Q1RJM7YdgnDtZKeEfyEmZUv4nDdt2N2PsJ7DZ/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/rais-magufuli-na-mkewe-wamemchangia.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/rais-magufuli-na-mkewe-wamemchangia.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy