http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Tanzia: Mama Mlezi wa Rais Mstaafu Kikwete afariki dunia..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze na mtoto wa Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne, Ridhiwani Kikwete kupitia ukurasa Instagram, ameandi...

Gobless Lema Afikisha Bungeni Sakata la Kukamatwa mmiliki wa shule ya Lucky Vincent
Balaa: Tembo Wanne Wavamia Chuo Kikuu cha UDOM
Breaking News: Watu Watano Wafariki Dunia Mkoani Arusha Baada ya Kuangukiwa na Mti




Mbunge wa Jimbo la Chalinze na mtoto wa Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne, Ridhiwani Kikwete kupitia ukurasa Instagram, ameandika ujumbe kuwa anasikitika kutangaza kifo cha bibi yake Bi. Nuru Khalfan Kikwete.

Kwa mujibu wa Ridhiwani, kifo hicho kimechotokea asubuhi hii katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

“TANZIA Ndugu na Marafiki nasikitika kuwatangazia Msiba/Kifo cha Bibi Yetu Bi.Nuru Khalfan Kikwete Kilichotokea asubuhi hii katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa Matibabu. Taratibu za mazishi tutajulishana . Innallilllah wainnaillah rajuun.#” ameandika kupitia ukurasa huo.



Tujikumbushe kidogo video hii:

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Tanzia: Mama Mlezi wa Rais Mstaafu Kikwete afariki dunia..
Tanzia: Mama Mlezi wa Rais Mstaafu Kikwete afariki dunia..
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2017/03/ridhiwani_kikwete-20170307-0001.jpg
https://i.ytimg.com/vi/6XigzLiZXAw/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/tanzia-mama-mlezi-wa-rais-mstaafu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/tanzia-mama-mlezi-wa-rais-mstaafu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy