http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Wachimbaji Waliofukiwa na Kifusi Wasema Wako Hai.....Watuma Majina Yao

Wakati imeelezwa kuwa waokoaji katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union ulioko Geita , wamebakiza mita tatu kuwafikia waliofukiwa Naibu Wazir...



Wakati imeelezwa kuwa waokoaji katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union ulioko Geita , wamebakiza mita tatu kuwafikia waliofukiwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Medard Kalemani akizungumza na ndugu wa watu waliofukiwa amesema kwamba wanafanya mpango wa kuwapelekea chakula wachimbaji hao.


Amesema kwamba jana wamefanikiwa kufanya mawasiliano na wachimbaji hao na kwamba wapo kumi na watano na kuwa wanachohitaji kwa sasa ni chakula.


Alisema waokoaji walifanikiwa kuwafikishia kamba na kalamu watu hao ambao waliandika majina na mahitaji yao na kusema kwamba wote wapo salama.


Watu hao akiwemo raia wa China mmoja walifukiwa na kifusi juzi usiku baada ya udongo kukatika na kuziba mlango waliokuwa wakitumia kuingia na kutoka na uokoaji unaendelea kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya uokoaji.

Watu wengi wapo katika eneo hilo wakiwemo ndugu wa waliofukiwa lakini kwa juhudi wanazoziona za uokoaji wametulia na kufuata maelekezo wanayopewa ikiwemo kukaa mita 500 toka eneo la tukio

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Wachimbaji Waliofukiwa na Kifusi Wasema Wako Hai.....Watuma Majina Yao
Wachimbaji Waliofukiwa na Kifusi Wasema Wako Hai.....Watuma Majina Yao
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwEeyK_19KxcFW9AYyfQK2V8gR43Bn8ffqMwBuYnWMRsrkBtvRABRTdiMyUe3Gyxf9oEs9ocB2y2delHinyaZiONiJgwdRDAMtfzgffh3qCIqrf6q2PVSmSdYk_Etn514RC-MRIv6400U/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwEeyK_19KxcFW9AYyfQK2V8gR43Bn8ffqMwBuYnWMRsrkBtvRABRTdiMyUe3Gyxf9oEs9ocB2y2delHinyaZiONiJgwdRDAMtfzgffh3qCIqrf6q2PVSmSdYk_Etn514RC-MRIv6400U/s72-c/1.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/wachimbaji-waliofukiwa-na-kifusi-wasema.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/wachimbaji-waliofukiwa-na-kifusi-wasema.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy