http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Sakata la Madawa: Vanessa Mdee Akamatwa na Polisi, Apelekwa kwa Mkemia Mkuu


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mwanamuziki Vanessa Mdee maarufu Vee Money kwa tuhuma za kujihusisha na biash...

VIDEO.Diwani CHADEMA aliyeitesa CCM miaka 15 apokelewa kwa poda CCM
Lowassa Akutana na Mbowe Kumpa Mrejesho wa Ikulu
Mtwara Wakesha Wakinywa Uji Baada ya mtoto kuzaliwa na Kuongea Papo Hapo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mwanamuziki Vanessa Mdee maarufu Vee Money kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.


Akizunguzumzia taarifa hiyo, Mwanasheria wa mwanamuziki huyo, Amin Tenga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kuwa Vanessa alijisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi kama alivyoagizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati akitaja majina ya watuhumiwa wa dawa hizo mapema mwezi uliopita.


Vanessa ni miongoni mwa watu waliotajwa katika orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya, lakini hakuweza kuripoti kwa wakati sababu alikuwa nchini Afrika Kusini kikazi.


Baada ya kujisalimisha, Jeshi la Polisi lilifanya upekuzi nyumbani kwake kabla ya kumpeleka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Jeshi la Polisi hadi sasa halijatoa taarifa kuhusu tukio hilo na kama walikuta ushahidi wowote nyumbani kwa mwanamuziki huyo

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Sakata la Madawa: Vanessa Mdee Akamatwa na Polisi, Apelekwa kwa Mkemia Mkuu
Sakata la Madawa: Vanessa Mdee Akamatwa na Polisi, Apelekwa kwa Mkemia Mkuu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDZIBGbSVNYhL7Bz-U1KEVPOqXzX-q1fhn0WbgdL-Q264UmKK5LbhdRHVAEC3-k7nw8ijIoS4sePVs9_xtWN5AM-J-I_kU2rT1mn_2twYOUt3HMuPcGGtrKYWWZ2edjgx8fh0CGkaa1qev/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDZIBGbSVNYhL7Bz-U1KEVPOqXzX-q1fhn0WbgdL-Q264UmKK5LbhdRHVAEC3-k7nw8ijIoS4sePVs9_xtWN5AM-J-I_kU2rT1mn_2twYOUt3HMuPcGGtrKYWWZ2edjgx8fh0CGkaa1qev/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/sakata-la-madawa-vanessa-mdee-akamatwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/sakata-la-madawa-vanessa-mdee-akamatwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy