http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Lema Awavaa Viongozi wa Dini

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema amewageukia viongozi wa dini nchini kwa kusema kwamba wanapaswa kukemea vitendo vya udhalil...


Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema amewageukia viongozi wa dini nchini kwa kusema kwamba wanapaswa kukemea vitendo vya udhalilishwaji wanavyofanyiwa wabunge wa upinzani na siyo kukemea viroba na bia.

Lema aliitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wanahabari Mjini Arusha na kusema kuwa viongozi wa dini mbalimbali nchini wasifumbe macho yao na kujifanya hawayaoni mateso wanayopatiwa viongozi wa upinzani nchini.


"Viongozi wetu wa dini wasijifanye hili tunalofanyiwa upinzani hawayaoni. Kazi ya viongozi wa dini siyo kukemea bia na viroba bali wanatakiwa wapige kelele kwenye ukiukwaji wa misingi ya sheria inayoendelea hapa nchini dhidi ya upinzani", alisema Lema.


Pamoja na hayo, Mhe. Lema ameongeza kuwa viongozi wa dini endapo watasimama katika kukemea maovu yanayofanywa ndani ya nchi yakiwepo ya unyanyasaji watakuwa wamelikomboa taifa kwenye machafuko.


"Ipo siku kuna watu watashindwa kuvumiliwa haya tunayofanyiwa, hapo ndipo vita vya wenyewe kwa wenyewe vitakapokuja hapo siku za mbeleni" alimaliza.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Lema Awavaa Viongozi wa Dini
Lema Awavaa Viongozi wa Dini
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHXz63ZTWNbNL5sBSW7PuHFyyiJ7AxI_bYl_tuN5agqyPvD73kdsALWwLrAZfDu9a09z60IS5C_BEIT1HgV6Ggf8BlfmGe04ZdIqE4YCxe8ByCkHBRznra9x7F2W4n2givpPsXlDS2WVyK/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHXz63ZTWNbNL5sBSW7PuHFyyiJ7AxI_bYl_tuN5agqyPvD73kdsALWwLrAZfDu9a09z60IS5C_BEIT1HgV6Ggf8BlfmGe04ZdIqE4YCxe8ByCkHBRznra9x7F2W4n2givpPsXlDS2WVyK/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/lema-awavaa-viongozi-wa-dini.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/lema-awavaa-viongozi-wa-dini.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy