http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Lissu: Dereva wangu ameniendesha miaka 15, nilitendewa tukio nikiwa nae na nitahojiwa nikiwa nae


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwanasheria mkuu wa Chadema, Rais wa TLS, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antipus Lissu, amesema atarudi yeye n...

Ndege zagongana uwanja wa ndege Indonesia
CUF kudai haki kwa amani
Mvua yasimamisha safari kwa saa tisa Dodoma

Mwanasheria mkuu wa Chadema, Rais wa TLS, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antipus Lissu, amesema atarudi yeye na dereva wake nchini Tanzania kwa mahojiano zaidi kwani wao ndo mashahidi wakuu.

Katika mahojiano yaliyofanyika Jijini Nairobi Kenya, Lissu amenukuliwa akisema “Dereva wangu ameniendesha miaka 15, nilitendewa tukio nikiwa nae na nitahojiwa nikiwa nae”.
Aidha Lissu amesema hali yake inaendelea vizuri na atakapopona atarejea nchini kwa ajili ya kuendeleza kile alichokiita mapambano dhidi ya serikali ya Mheshimiwa Magufuli.


Pia ameeleza kuwa matibabu bado yanaendelea ameshafanyiwa upasuaji mara 17 na kutolewa risasi 16 na bado risasi moja ipo mwilin mwake taratibu za kuitoa zinaendelea.

Katika hatua nyingine Lissu amewatoa hofu wanachama wa Chadema na Watanzania kwa ujumla kutokuwa na wasiwasi na baadhi ya viongozi wanakiokihama chama hicho na kujiunga CCM kwani suala hilo ni la kawaida na lilikuwepo tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Lissu: Dereva wangu ameniendesha miaka 15, nilitendewa tukio nikiwa nae na nitahojiwa nikiwa nae
Lissu: Dereva wangu ameniendesha miaka 15, nilitendewa tukio nikiwa nae na nitahojiwa nikiwa nae
https://i0.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2018/01/lissu.jpg?resize=1140%2C640
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/lissu-dereva-wangu-ameniendesha-miaka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/01/lissu-dereva-wangu-ameniendesha-miaka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy