http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Yajue magonjwa yanayokingwa kwa kufanya mapenzi mara kwa mara.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kufanya mapenzi ni mojawapo ya vitu vichache ambavyo watafiti wanasema vinamfanya mtu aburudike huku mwili wake ukifaidika kutokana na ten...

Kama umeona kitu kama hiki chumba cha Hotel, Ondoka mara moja
VIDEO.KIPINDI CHA SAUTI ZAO KUTOKA ARUSHA(KILIMO)
HIVI NDIVYO KIJANA KUTOKA "MOSHI, KIBOSHO" ANAVYOELEZA HISIA ZAKE KWA BINTI.
Kufanya mapenzi ni mojawapo ya vitu vichache ambavyo watafiti wanasema vinamfanya mtu aburudike huku mwili wake ukifaidika kutokana na tendo hilo.

Utafiti umeonyesha kwamba kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kunatibu mafua, kuepusha magonjwa ya moyo, kunazuia kansa na hata kuongeza urefu wa maisha.

Watafiti katika chuo kikuu cha Nottingham University nchini Uingereza wamegundua kwamba wanaume wenye umri zaidi ya miaka 50 wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara wana uwezekano mdogo sana wa kupata kansa ya kibofu.

Watafiti hao walikanusha madai kwamba kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara 20 kwa mwezi kunaongeza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo.

Madaktari wamekubaliana kwamba mapenzi ni kama shughuli zingine za kawaida na ni mazoezi bora kwa afya.

"Kwa kulinganisha na mazoezi, kufanya mapenzi ni sawa na kutembea zaidi ya kilomita moja au kupanda na kushuka ngazi za majengo mawili marefu" alisema Dr Graham Jackson wa hospitali ya St Thomas.

Utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Queens University cha Belfast umesema kwamba kufanya mapenzi zaidi ya mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo.

Tendo la ndoa pia linasaidia kulinda mifupa. Dr Sarah Brewer alisema: “kiwango cha Testosterone kimeonekana kuongezeka wakati tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa".

Utafiti huo ulibainisha kwamba kwa wanaume na wanawake ili waweze kupata faida za tendo la ndoa inawabidi wafanye tendo hilo mara kwa mara.

"Itumie au ipoteze" ndiyo ushauri uliokuwa ukitolewa kwa wazee na wanasayansi toka nchini Finland.

Pamoja na faida za tendo la ndoa ,tendo hilo pia lina hasara zake kama vile kupata magonjwa ya zinaa iwapo kinga haitatumika.

Tangia kugunduliwa kwa viagra miaka 10 iliyopita idadi ya watu wenye umri zaidi ya miaka 45 walioambukizwa magonjwa ya zinaa imeongezeka maradufu.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Yajue magonjwa yanayokingwa kwa kufanya mapenzi mara kwa mara.
Yajue magonjwa yanayokingwa kwa kufanya mapenzi mara kwa mara.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghuuoPZKNp6_jeFm9pk1kDdlN5T-tOEWcL4T5VorNyvcicWd43hMLULFuSSITpZjBMpBv5GhyphenhyphennIQr6nSo9QJqxC3g7mCq_ADrgAPkO2I5djxQ17L9r2oLUdmtM4Zd3GFPL908BZ5Qkjbs/s640/f8647-maisha-na-mapenzi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghuuoPZKNp6_jeFm9pk1kDdlN5T-tOEWcL4T5VorNyvcicWd43hMLULFuSSITpZjBMpBv5GhyphenhyphennIQr6nSo9QJqxC3g7mCq_ADrgAPkO2I5djxQ17L9r2oLUdmtM4Zd3GFPL908BZ5Qkjbs/s72-c/f8647-maisha-na-mapenzi.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/yajue-magonjwa-yanayokingwa-kwa-kufanya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/yajue-magonjwa-yanayokingwa-kwa-kufanya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy