http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Kama umeona kitu kama hiki chumba cha Hotel, Ondoka mara moja


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Ukiona kifaa hiki kwenye chumba cha hotel, ujue kwamba sio urembo kama watu wengi wanavyofikiria. Kifaa hiki unaweza kuona kimewekwa kwen...

Mwanafunzi Aamriwa Kubandika Bandeji Kwenye Chuchu Baada ya Kuwachanganya Wanafunzi wa Kiume
WEPESI MEDIA WISH YOU A HAPPY EASTER
ANGALIA TEMBO ANAYETOKWA NCHINI INDIA ALIVYOZUA GUMZO

Ukiona kifaa hiki kwenye chumba cha hotel, ujue kwamba sio urembo kama watu wengi wanavyofikiria. Kifaa hiki unaweza kuona kimewekwa kwenye mlango au ukutani. Kinawekwa na waharifu kwa manufaa yao binafsi.

Habari mpya na zenye matumaini zinaeleza kwamba hiki kifaa chenye umbo kama pasi, kinabeba kitu ambacho kinaweza kuharibu maisha yako.Usikubali watu hawa wapate wanachotaka kwako.Vingi kati ya vifaa hizi ni technolojia ya juu sana ya kamera za siri.

Cha kusikitisha zaidi kuhusu hizi kamera ni kwamba mtu yeyote anaweza akazinunua kwenye mtandao. Ina maana kwamba mtu yeyote akidhamilia kukuchunguza ataweza, ni fedha chache tu inagharimu kwa mtu kupata hiki kifaa.

Vifaa hivi vinatangazwa kama "home security camera". Ila kwa bahati mbaya watu wengi wanavinunua kuwachunguza wanawake katika vyumba vya kulala wageni na vyumba vya hotelini.
Nchini Marekani vifaa hivi vimeanza kuchunguzwa kwenye vyumba vya wageni. Polisi wengi wanahusika na uchunguzi wa vifaa hivi, kama utakiona katika sehemu unayopendelea kwenda, inabidi ujiulize kwanini?

Unashauriwa ukikiona kifaa hiki chumba cha wageni ulicholala, au kifaa chochote usichokielewa vizuri ambacho utahisi kama ni kamera, usikishike.Wapigie polisi na wajulishe.
Kamera nyingi za siri zinapatikana kwenye maduka mbalimbali yanayouza vifaa hivi. Ukikiangalia kwa karibu utaona kitobo kidogo sana juu yake.Hiyo ni sehemu ya lenzi ya camera na inakurekodi kila kitu unachofanya.

Hizi kamera zinaenda kwa motion.Kama mtu akiingia tu bafuni, inajiwasha yenyewe.Itakurekodi ukiwa bafuni mpaka utoke au nafasi yake ijae.

Kuwa makini na kamera hizi, zinaweza kufichwa mahali popote na wewe usiweze kugundua kabisa.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kama umeona kitu kama hiki chumba cha Hotel, Ondoka mara moja
Kama umeona kitu kama hiki chumba cha Hotel, Ondoka mara moja
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhyrbjkL78VGCL1GL-2DWGU2wpd6wbc_sAU6BpfjWeALWLW0kxTD_L2ejZl9LE5X80dRGHbxNhx_UZVpBoqJQXPsqK3KihmkmmdOabLKESSpRdevBeoYT6qtNPwDfpjRwYwkLEvQ4NpXKc/s640/kifaa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhyrbjkL78VGCL1GL-2DWGU2wpd6wbc_sAU6BpfjWeALWLW0kxTD_L2ejZl9LE5X80dRGHbxNhx_UZVpBoqJQXPsqK3KihmkmmdOabLKESSpRdevBeoYT6qtNPwDfpjRwYwkLEvQ4NpXKc/s72-c/kifaa.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/kama-umeona-kitu-kama-hiki-chumba-cha.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/kama-umeona-kitu-kama-hiki-chumba-cha.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy