http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

ANGALIA TEMBO ANAYETOKWA NCHINI INDIA ALIVYOZUA GUMZO

Mijadala imezuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuonesha video inayomwonesha tembo anat...

Mijadala imezuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuonesha video inayomwonesha tembo anatokwa na moshi mkubwa mdomoni mwake. Wanasayansi wa wanyamapori pia wameonesha kushangazwa na kitendo hicho.
Kutoka nchini India video hiyo ilionesha tembo huyo akiokota mikaa wa moto msituni kwa kutumia mkonga wake na kuingiza mdomoni mwake. Baada ya kuweka moto huo mdomoni, moshi mkubwa ulionekana ukitoka ‘puani’ kwake jambo ambalo bado halijajulikana linawezekanaje na halijawahi kuonekana likitendeka.
Watafiti wa Jamii ya Uhifadhi wa Wanyamapori nchini India (WCS) ndio waliochukua video hiyo kipindi wanafanya maonesho ya tabia zisizo za kawaida za wanyamapori.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : ANGALIA TEMBO ANAYETOKWA NCHINI INDIA ALIVYOZUA GUMZO
ANGALIA TEMBO ANAYETOKWA NCHINI INDIA ALIVYOZUA GUMZO
https://matukiotz.co.tz/wp-content/uploads/2018/03/ele.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/angalia-tembo-anayetokwa-nchini-india.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/angalia-tembo-anayetokwa-nchini-india.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy