http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mwanafunzi Aamriwa Kubandika Bandeji Kwenye Chuchu Baada ya Kuwachanganya Wanafunzi wa Kiume

  \FLORIDA, MAREKANI: Uongozi wa shule moja ulimuagiza mwanafunzi mmoja(17) ambaye hakuvaa sidiria kufunika chuchu zake kwani alikuwa aki...

 
\FLORIDA, MAREKANI: Uongozi wa shule moja ulimuagiza mwanafunzi mmoja(17) ambaye hakuvaa sidiria kufunika chuchu zake kwani alikuwa akiwachanganya wanafunzi wengine

Mwanafunzi huyo aliyefahamika kwa jina la Lizzy Martinez hakuvaa sidiria ila alivaa blauzi yenye mikono mirefu

Lizzy alisema alihisi kama wanafunzi wenzake walikuwa wakimghasi lakini mshauri wa wanafunzi akamuambia alikuwa akiwachanganya kutokana na alivyovyaa

Lizzy aliagizwa kuvaa shati jingine juu ya blauzi aliyokuwa amevaa na kisha akaagizwa kwenda kwa nesi na kupewa bandeji ambazo aliambiwa abandike kwenye chuchu zake

Kitendo cha Lizzy kupewa nguo nyingine na kisha bandeji apandike kwenye chuchu zake kilimfanya ajihisi anadhalilishwa na kumfanya atokwe machozi

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanafunzi Aamriwa Kubandika Bandeji Kwenye Chuchu Baada ya Kuwachanganya Wanafunzi wa Kiume
Mwanafunzi Aamriwa Kubandika Bandeji Kwenye Chuchu Baada ya Kuwachanganya Wanafunzi wa Kiume
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsXbq-gEN69_o12O7WIDzFT_2IVGiDfe0nxHd2Hf15jxfajeb3eAyNbQxclDl8EJVvwiCFx-W6pmNhOFuLgXtzcVXDL1GkFkOqlK1bey44fLb6S0tCY30YrYk8O86YlmyYNAXYgxIiJF8/s640/%255BUNSET%255D
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjsXbq-gEN69_o12O7WIDzFT_2IVGiDfe0nxHd2Hf15jxfajeb3eAyNbQxclDl8EJVvwiCFx-W6pmNhOFuLgXtzcVXDL1GkFkOqlK1bey44fLb6S0tCY30YrYk8O86YlmyYNAXYgxIiJF8/s72-c/%255BUNSET%255D
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/04/mwanafunzi-aamriwa-kubandika-bandeji.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/04/mwanafunzi-aamriwa-kubandika-bandeji.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy