http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

INASIKITISHA. FAHAMU MAAJABU 6 YA KOREA KASKAZINI


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Tanzania ni moja kati ya nchi yenye amani na uhuru mkubwa kwa kuruhusu raia wake kua na uhuru wa kufanya mambo mbalimbali kama havunji ...

Vijue vitu vitano vinavyomaliza chaji kwa haraka kwenye simu
Yajue magonjwa yanayokingwa kwa kufanya mapenzi mara kwa mara.
Dawa Za Nywele Zinazosababisha Uvimbe Wa Kizazi Kwa Wanawake

Tanzania ni moja kati ya nchi yenye amani na uhuru mkubwa kwa kuruhusu raia wake kua na uhuru wa kufanya mambo mbalimbali kama havunji sheria  lakini leo  naomba nikusogezee sheria  ambazo ni maajabu sita za nchi ya Korea Kaskazini ambapo kama zikiletwa Tanzania itakuwa ngumu watu kuzitekeleza kutokana na utaratibu ambao tumezoea.
1: Style ya kunyoa nywele inachaguliwa na serikali

Hiki kinaweza kuwa ni kitu cha kushangaza sana lakini ni kweli  mwaka 2013 serikali ya Korea Kaskazini ilianzisha sheria ambayo inaipa mamlaka ya kuchagulia raia wake Style za nywele ambapo 18 kwa wanawake na 10 kwa wanaume cha kushangaza zaidi style ya nywele ya Rais wa nchi hiyo Kim Jung Un haipo kwenye list iliyotolewa.
2: Serikali huchagua watu maalum wa kuishi ndani ya mji Mkuu.

Korea Kaskazini ni watu maalum waliochaguliwa na serikali ndio wanaruhusiwa kuishi ndani ya mji mkuu wa nchi hiyo, ni kosa kisheria kwa mtu kuingia mjini  Pyongyang bila kibali maalum cha kuingia katika mji huo.Watu wenye mafanikio na wenye utii kwa serikali ndo huruhusiwa kuishi katika mji mkuu.
3: Ni lazima watu kupiga kura.

Kwa kawaida kupiga kura ni jambo la hiari nchi zote duniani lakini ukiwa Korea Kaskazini ni lazima upige kura, nchi hiyo hufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano lakini cha kushangaza hakuna mgombea aliyewahi kujitokeza kushindana na Kim kwenye uchaguzi mkuu.
4: Ni lazima kuangalia TV ya Taifa.

Wananchi wa Korea Kaskazini huruhusiwa kuangalia channel tatu pekee ni kosa la kisheria kuangalia program za Tv kutoka nchi zingine hasa Marekani na ni lazima wananchi kuangalia Televisheni ya Taifa kujua kinachoendelea nchini mwao.
5: Wananchi hawaruhusiwi kumiliki bibilia.

Ukiwa Korea Kaskazini ni kosa kisheria kumiliki bibilia au kuamini katika ukristo, serikali ya nchi hiyo inaamini kwamba ukristo ni dini ya nchi za magharibi hivyo serikali ndio taasisi  inayotakiwa kuabudiwa na wananchi wa nchi hiyo.
6: Ukitoroka jela wanaoadhibiwa ni familia yako.

Ukitoroka jela Korea Kaskazini wanaoadhibiwa ni familia yako mpaka kizazi cha tatu yaani kuanzia wewe,watoto utakaowazaa na wajukuu zako, sheria hii iliwekwa ili kuzuia watu kutoroka jela  licha ya kuwa ilipingwa vikali na umoja wa kimataifa (UN)

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : INASIKITISHA. FAHAMU MAAJABU 6 YA KOREA KASKAZINI
INASIKITISHA. FAHAMU MAAJABU 6 YA KOREA KASKAZINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEcgHlQ87tezEdslUfFNFSKgu8R8Sl3rxKQ5yu3MzlJw6zoVBh1WV9ysnsAXruQ2Q6I4fMtzz-aL39jfduhpdULpTQVhdz4lTUB7NlFKleXEPBf6g05WjXzyhstY32QRTHcmeuq-Pfe04/s1600/3F43F6CE00000578-4413582-Crowds_cheered_as_a_missile_was_driven_past_the_stand_where_Nort-a-15_1492274491119.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEcgHlQ87tezEdslUfFNFSKgu8R8Sl3rxKQ5yu3MzlJw6zoVBh1WV9ysnsAXruQ2Q6I4fMtzz-aL39jfduhpdULpTQVhdz4lTUB7NlFKleXEPBf6g05WjXzyhstY32QRTHcmeuq-Pfe04/s72-c/3F43F6CE00000578-4413582-Crowds_cheered_as_a_missile_was_driven_past_the_stand_where_Nort-a-15_1492274491119.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/inasikitisha-fahamu-maajabu-6-ya-korea.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/inasikitisha-fahamu-maajabu-6-ya-korea.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy