http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

GAMBO Awataka waliokula pesa zauma kufunguliwa mashtaka


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo ametaka kurejeshwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Ndg. Juma Iddi, Mwekahazina Kessy Mpa...

SIMBA AKIAMA CHAMA CHA CHADEMA RASMI LEO
Hukumu ya Nguza Viking na mwanae Papii Kocha
Watu 7 wamefariki dunia kwa ajali ya gari
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo ametaka kurejeshwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji Ndg. Juma Iddi, Mwekahazina Kessy Mpakata pamoja na Dr. Bakari Salum ambao wataungana na Katibu wa Afya Optat Ismail ili kujibu tuhuma zinazowakabili za ubadhirifu wa Fedha za mfuko wa pamoja wa kapu la Afya (Busket Fund).

Gambo ameyasema hayo katika siku ya kwanza ya ziara yake Jijini hapa ambapo alikuatana na wafanyakzi wa Jiji, Taasisis za Serikali, Bodi na Kamati za Shule, Viongozi wa Dini, Wazee wa Mji pamoja na Makundi Maalum.

Alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kupokea Taarifa ya Tume aliyoiunda kukagua matumizi ya mfuko huo wa Afya endapo taratibu zilizingatiwa katika mapato na matumizi na kama Fedha hizo ziliwafikia wananchi kupitia huduma bora za Afya.

Aliongeza kusema kuwa kupitia Taarifa ya Tume hiyo alibaini ubadhirifu wa Fedha hizo kwani zilipelekwa kwenye Hospital ya St. Elizabert pamoja na Isnasheer pasipo kuwa na Mikataba inayoeleweka na mikataba mingine kutokuonekana kabisa hivyo kuwa na mashaka na matumzi ya Fedha hizo na manunuzi ya madawa kufanyika pasipo kuwa na risit za kielektroniki.

“Alisema kuwa haiwezekana Fedha zitumiwe kana kwamba hakuna miongozo wala maelekezo ya Serikali kwa sababu Hospital zingine zimekwisha fungwa lakini bado inaonekana Fedha zilipelekwa sasa sijui zilikuwa zinatumiwa kwenye eneo gani wakati Hospital Haifanyi Kazi”
Rc Gambo pia alimuagiza Mkurugenzi wa Jiji Ndg. Athumani Kihamia kuwasimamisha Kazi watumishi 23 wa Timu ya Menegimet ya Afya(CHMT) kupisha uchunguzi wa matumizi ya Tsh Mil 63 walizojilipa posho pasipo kuwa na Taarifa ya kazi(Activity report).

Ziara hii za siku tabo itahusisha uzinduzi na uwekaji na ufunguaji wa miradi ya maendeleo, mikutano ya hadahara pamoja na kutatua kero za wananchi wa Jiji hili.

Nteghenjwa Hosseah
Afisa Habari, Halmashauri ya Jiji
Arusha.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : GAMBO Awataka waliokula pesa zauma kufunguliwa mashtaka
GAMBO Awataka waliokula pesa zauma kufunguliwa mashtaka
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFYXnTpkrOskJ72SMPMffQs5o7RYi9sHETPpgwYhZ_P9EcXNaLb5voJVf5S6-nTZWDnI3Dfy-7xkuCWXrMabOVi5yNwGZA6BQ7pk6uEdWVBURhNOjq7a9eHVNdnOSU2ZA-rYjDZx1YJEo/s640/.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgFYXnTpkrOskJ72SMPMffQs5o7RYi9sHETPpgwYhZ_P9EcXNaLb5voJVf5S6-nTZWDnI3Dfy-7xkuCWXrMabOVi5yNwGZA6BQ7pk6uEdWVBURhNOjq7a9eHVNdnOSU2ZA-rYjDZx1YJEo/s72-c/.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/gambo-awataka-waliokula-pesa-zauma.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/04/gambo-awataka-waliokula-pesa-zauma.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy