www.wepesimedia.blogspot.com Aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Mjini Kati mkoani Arusha kupitia chama cha CHADEMA Mwaka 2015 Bwana Self ...
www.wepesimedia.blogspot.com
Aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Mjini Kati mkoani Arusha kupitia chama cha CHADEMA Mwaka 2015 Bwana Self Salum maarufu kwa jina la Simba amejiunga na chama cha mapinduzi CCMSimba amejinga CCM Siku ya leo Alhamis kwa kigezo alichokisema ni kufurahishwa na utendaji kazi wa ilani ya chama cha mapinduzi CCM inayosimamiwa na Rais John Magufuli.



