http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mtalii mchina aua mwanamke Kenya

Image caption Mtalii mChina amemuua raia wa China katika hoteli moja ya kifahari katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara. Mtalii mChina amek...

Mtalii mchina aua mwanamke Kenya
Image captionMtalii mChina amemuua raia wa China katika hoteli moja ya kifahari katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara.
Mtalii mChina amekamatwa nchini Kenya baada ya kumdunga na kumuua mtalii mwenza vilevile kutoka China katika hoteli moja ya kifahari katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara.
Lee Changqin, ametiwa mbaroni baada ya kumdunga kisu bi Luo Jinli 45 walipotofautiana katika sebule ya mgahawa wa Keekorok.
Changqin alipandwa na hamaki alipowataka marehemu na mumewe Dong Ya kuondoka walikokuwa wameketi wakati wa chajio.
Hata hivyo walimpuuuzilia mbali na ubishi ukazuka ulioishia kwa Changqin kuwadunga wote kisu vifuani.
Kwa bahati mbaya bi Jinli aliaga dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini kwa matibabu huku mumewe akilazwa hospitalini katika hali mahututi.
Afisa mkuu wa kitengo cha jinai cha polisi katika eneo hilo Gideon Kibunjah, amenukuliwa akithibitisha kukamatwa kwa bwana Changqin ambaye anasemekana kuwa mzungumzaji mzuri sana wa lugha ya kiswahili tofauti kabisa na wenzake aliowashambulia.
Msemaji wa ubalozi wa Uchina mjini Nairobi amesema kuwa bado hawajapata taarifa kamili kuhusiana na mauaji hayo.
Kenya imeibuka kuwa kivutio kikubwa cha watalii kutoka mashariki ya mbali na haswa Uchina.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mtalii mchina aua mwanamke Kenya
Mtalii mchina aua mwanamke Kenya
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/624/cpsprodpb/39B4/production/_90727741_45bc6e64-fc1c-4e21-9b57-7317a626cb88.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/mtalii-mchina-aua-mwanamke-kenya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/mtalii-mchina-aua-mwanamke-kenya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy