http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU UZINDUZI WA MAJENGO YA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAPENDA KUWAJULISHA WANANCHI WOTE KUWA KUTAKUWA NA UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI ZA DAWATI LA JINSIA NA WATOT...

Serikali kuwamilikisha wanavijiji silaha za moto?
Kenya inatarajia kurusha Satelaiti yake leo
Mwanasheria TBC amruka Tido Mhando Mahakamani




JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAPENDA KUWAJULISHA WANANCHI WOTE KUWA KUTAKUWA NA UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI ZA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO ZILIZOPO POLISI KATI MBEYA NA KITUO KIDOGO CHA POLISI ILOMBA.UZINDUZI HUU UTAFANYIKA TAREHE 30.09.2016 SIKU YA IJUMAA.

MAJENGO HAYO YA OFISI ZA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO NI MOJA KATI YA MAJENGO YANAYOJENGWA NCHI NZIMA KATIKA KUTEKELEZA MPANGO MKAKATI WA KUJENGA MIUNDO MBINU YA OFISI ZA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO UNAOFADHILIOWA NA UNICEF.

HIVYO WANANCHI MJITOKEZE KWA WINGI KATIKA KUSHUHUDIA TUKIO HILO MUHIMU NA LA KIHISTORIA KATIKA MKOA WETU WA MBEYA.

MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA MKOA WA MBEYA MH. AMOS MAKALA

KAULI MBIU:- FUNGUKA TUMIA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA.

IMETOLEWA NA.

OFISI YA KAMANDA WA POLISI

MKOA WA MBEYA.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU UZINDUZI WA MAJENGO YA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU UZINDUZI WA MAJENGO YA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2016/09/index-39.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/taarifa-ya-jeshi-la-polisi-kuhusu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/taarifa-ya-jeshi-la-polisi-kuhusu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy