http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Serikali kuwamilikisha wanavijiji silaha za moto?

Serikali imesema italiangalia suala la kutoa vibali vya umiliki wa silaha za kujihami dhidi ya wanyama wakali kwa wananchi wanao...

Serikali imesema italiangalia suala la kutoa vibali vya umiliki wa silaha za kujihami dhidi ya wanyama wakali kwa wananchi wanaoishi karibu na hifadhi za taifa ambao wanaathirika kutokana na wanyama kuvamia makazi yao.
Hayo yamesemwa Bungeni leo, Mei 11, 2018 na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet Hasunga na kuongeza kuwa Wizara yake itaangalia mapitio ya sheria na kujaribu kulipatia mkazo jambo hilo.
“Hili suala liliopendekezwa kwamba tutoe silaha kwa wananchi na hasa katika vijiji kuweza kuzimiliki silaha, basi mwenyekiti pale tutakapokuwa tunapitia sheria pamoja na kanuni tutangalia kama hilo litawezekana ili tuone kama linaweza kusaidia.” amesema Hasunga
Naibu Waziri Hasunga aliongeza kuwa serikali inatoa kifuta jasho kwa wananchi waliothirika na wanyama hao.
 “Kifuta jasho kama mwanachi anakuwa ameuawa ni shilingi milioni moja, kama amejeruhiwa ni laki tano na kama ni mazao kuna kiwango chake kutegemea kilomita ambapo shamba lipo”.
 Wakazi wa vijiji na wilaya mbalimbali wanaidai serikali kiasi cha shilingi milioni 828 kama fedha ya kifuta jasho, wakati matukio ya wanyama kushambulia wakazi jirani na hifadhi yamefikia 3509 Nchi nzima.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Serikali kuwamilikisha wanavijiji silaha za moto?
Serikali kuwamilikisha wanavijiji silaha za moto?
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/05/11/Silaha.jpg?itok=Aeg_umDt×tamp=1526026868
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/serikali-kuwamilikisha-wanavijiji.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/serikali-kuwamilikisha-wanavijiji.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy